caine
JF-Expert Member
- Jul 4, 2015
- 563
- 1,275
Habari zenu wanajukwaa
Naomba msaada wenu ni wapi ninaweza kupata kampuni nzuri ya IT ambayo wataweza kunitengenezea system kwa ajili ya workshop yangu ambayo inafanya kazi sambamba na duka la spare. Kama kuna kampuni ya IT ambayo tayari wamekwisha kufanya hii kazi itakua vyema zaidi maana ni kazi inayohitaji maelekezo mengi na umakini wa hali ya juu.
Nina hitaji system ambayo ita unganisha shughuli za duka la spare kwa maana ya ku control stock movement na shughuli za matengenezo kwa maana spare nyingi zinatoka moja kwa moja dukani.
Nawasilisha.