UHITAJI WA SYSTEM YA KUENDESHA SHUGHULI ZA GARAGE.

caine

JF-Expert Member
Jul 4, 2015
345
1,000
Habari zenu wanajukwaa

Naomba msaada wenu ni wapi ninaweza kupata kampuni nzuri ya IT ambayo wataweza kunitengenezea system kwa ajili ya workshop yangu ambayo inafanya kazi sambamba na duka la spare. Kama kuna kampuni ya IT ambayo tayari wamekwisha kufanya hii kazi itakua vyema zaidi maana ni kazi inayohitaji maelekezo mengi na umakini wa hali ya juu.

Nina hitaji system ambayo ita unganisha shughuli za duka la spare kwa maana ya ku control stock movement na shughuli za matengenezo kwa maana spare nyingi zinatoka moja kwa moja dukani.

Nawasilisha.
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,316
2,000
Kuna mmoja ana shughuli za Garage, tupo nae hapa Mkoani, na huyu ninaamini anaweza akawa msaada mkubwa kwako sababu jamaa anamiaka zaidi ya 8 akiwa kwenye biashara hiyo ya Garage
 
kama unaweza kunisaidia mawasiliano yake utakua umenisaidia sana.
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,316
2,000
PM ipo wazi mkuu.
Bilashaka umeamini ninalo linena
Screenshot_2019-03-12-18-09-01.jpg
 
Jcbmmnl

Member
Apr 23, 2018
30
95
Hizo system zipo Mzee, kuna moja wanaitumia toyota inaitwa 'Odoo' lakin huwezi ipata free halaf ni internet based
 
Aug 6, 2013
61
225
Habari zenu wanajukwaa

Naomba msaada wenu ni wapi ninaweza kupata kampuni nzuri ya IT ambayo wataweza kunitengenezea system kwa ajili ya workshop yangu ambayo inafanya kazi sambamba na duka la spare. Kama kuna kampuni ya IT ambayo tayari wamekwisha kufanya hii kazi itakua vyema zaidi maana ni kazi inayohitaji maelekezo mengi na umakini wa hali ya juu.

Nina hitaji system ambayo ita unganisha shughuli za duka la spare kwa maana ya ku control stock movement na shughuli za matengenezo kwa maana spare nyingi zinatoka moja kwa moja dukani.

Nawasilisha.

Karibu mkuu hii system tunayo naomba tuwasiliane 0759702766 au email mathew@clicktech.co.tz

Tazama hapa nimeambatanisha picha pamoja na details za hii system na hii system yetu ipo pamoja na website yake km utahitaji iwe online bt inaweza kukaa hata offilene na ikafanya kazi vizuri

2.png

admin_dashboard.png
owner_dashboard.png
renter_dashboard.png

 • Admin Login.
 • Customer Login.
 • Mechanic Login.
 • Customer Management.
 • Car sell and buy management.
 • Sell old and new parts from admin with sell and purchase information.
 • Car repair Estimate and Invoice Generate.
 • Sell car and Parts Invoice generation.
 • Customer can send Estimate Request.
 • Customer can send new or old car buy request.
 • Customer can contact us for any parts.
 • Dynamic menu and CMS management.
 • Fully dynamic home and other page.
 • Admin alert section and check request.
 • Reports generate.
 • Mechnanic record and salery management.
 • Admin, customer & Mechnanic login panel with dashboard.
 • News management & comments.
 • FAQ management.
 • SEO friendly url frontend.
 • Full support.
 
phoncechriss

Member
Jan 13, 2019
37
125
Habari zenu wanajukwaa

Naomba msaada wenu ni wapi ninaweza kupata kampuni nzuri ya IT ambayo wataweza kunitengenezea system kwa ajili ya workshop yangu ambayo inafanya kazi sambamba na duka la spare. Kama kuna kampuni ya IT ambayo tayari wamekwisha kufanya hii kazi itakua vyema zaidi maana ni kazi inayohitaji maelekezo mengi na umakini wa hali ya juu.

Nina hitaji system ambayo ita unganisha shughuli za duka la spare kwa maana ya ku control stock movement na shughuli za matengenezo kwa maana spare nyingi zinatoka moja kwa moja dukani.

Nawasilisha.
Dah kaka nashukuru nmepitia hii thread sisi tunafanya shughuli hizo na hyo system tunayo ni moja ya kazi tulizowah fanya karibu CSM tupo kariakoo opposite na china plaza namba zangu ni +255754516975

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
12,323
2,000
Kampuni ipo mkuu. Tena wamefanya kazi nying sana. Nikuunganishe nao
Habari zenu wanajukwaa

Naomba msaada wenu ni wapi ninaweza kupata kampuni nzuri ya IT ambayo wataweza kunitengenezea system kwa ajili ya workshop yangu ambayo inafanya kazi sambamba na duka la spare. Kama kuna kampuni ya IT ambayo tayari wamekwisha kufanya hii kazi itakua vyema zaidi maana ni kazi inayohitaji maelekezo mengi na umakini wa hali ya juu.

Nina hitaji system ambayo ita unganisha shughuli za duka la spare kwa maana ya ku control stock movement na shughuli za matengenezo kwa maana spare nyingi zinatoka moja kwa moja dukani.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom