Uandishi [uu] humetoka wapi?

Elimu yetu ni mbovu sana,mbaya zaidi unakuta anaeandika hivyo ni msomi wa chuo kikuu.Mkuu mimi nimekuelewa sana
Hasante sana mkuu. Ninafurahi ninapoona watu wanahoweza kufikiri kwa mapana namna ii.
 
Ngoja nihende moja kwa moja kwenye oja. Ivi uu uhandishi watu wanahondoa irabu na kuweka konsonanti [h] ama kinyume chake humetokeha wapi? Ni shule mbovu hau ni stahili mpya? Ninadhani mumenihelewa.
Sawa oja yako tumeisoma
 
Jamaa siku hiyo tunapanga dili anamuelekeza mtu ili aje anione sasa akani-text akaniambia “huyu jamaa nimempa namba yako hatakuja hapo” mimi nilivyosoma nikaelewa kwamba hatakuja nilipo labda nitapigiwa simu nimfate alipo basi mie nikafunga nikaondoka zangu kumbe ile namba aliichukua in case akipotea nilipo anipigie nimuelekeze.

Mteja amefika ananipigia nikamwambia jinsi alivyosema aliyemuelekeza nikamwambia mpigie umuulize wakapigiana simu muda kidogo nashangaa tena yule jamaa yangu ananipigia ananilaumu “nilikwambia jamaa anakuja hapo” basi nikabaki nashangaa tu,nadhani ni shida watu wengi wanayo na huwa hawasomi wenyewe kuelewa kile walichoandika wanajitumia tu vitu hovyo hovyo.
 
wewe ata aujui kitu. hujuaji hutakuhangamiza

hutakuhangamiza?????
WTF,
nasema tena nenda ccm dogo, wew ni chizi au nini kinakusumbua? Moderator toa hili chizi humu jf, hata kuandika halijui ila linataka bishana na mimi, umenishusha sana kwa kitendo chako cha kuona unaweza bishana na mim.
 
Ukubwa wa puha siyo wingi wa kamasi.
Hinshiti nimekuhelewa.
Unatumiha ñamna yaho ya uhandishi kufikisha Ujumbe.
Hasante Sana .
Hakili kubwa
 
Ngoja nihende moja kwa moja kwenye oja. Ivi uu uhandishi watu wanahondoa irabu na kuweka konsonanti [h] ama kinyume chake humetokeha wapi? Ni shule mbovu hau ni stahili mpya? Ninadhani mumenihelewa.
wewe mwenyewe haujui kuandika.....

UNAKOSOAJE UANDISHI???
 
Mleta mada anajielewa vizuri tu, ameamua kufikisha ujumbe ili watu waone athari na madhara ya anachokiongelea.

Unafikiri angekua haelewi angona kama huo uandishi unatatizo hadi auanzishie uzi?
 
Mleta mada anajielewa vizuri tu, ameamua kufikisha ujumbe ili watu waone athari na madhara ya anachokiongelea.

Unafikiri angekua haelewi angona kama huo uandishi unatatizo hadi auanzishie uzi?
Asante. Wahambie ao. Shida ya wabongo ni ujuhaji. Wapo negative mara nyingi. Wanapenda kutumia mgongo wa mtu kupunguza stress zaho. Awajuhi wao ndiho wanahonekana awafikiri kwa kina
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom