Uhamiaji Zambia walitaka kunifunga kisa kuongeza siku

Uhamiaji Zambia walitaka kunifunga kisa kuongeza siku

Akili zetu za kiafrika hizi, bado wiki mbili kwanini wanataka kukuweka lockup, wamelewa madaraka
unawakosea walikuwa sahihi ,mtukutu huyu alitaka kwenda kuongeza wikimbili nyingine wakati mkononi anawiki mbili mbele. wakashituka kwann aombe nyingine wakati anazo tayari
 
unawakosea walikuwa sahihi ,mtukutu huyu alitaka kwenda kuongeza wikimbili nyingine wakati mkononi anawiki mbili mbele. wakashituka kwann aombe nyingine wakati anazo tayari
Kama harugusiwi kuongeza jukumu lao ni kumwambia hiyo hairuhusiwi, kwasababu yeye alienda kufata tatatibu za kuongeza ombi lingekataliwa na kumuelewesha taratibu zipo vipi..

Hawawezi kua sahihi kwa muktadha ulioelezwa na mtoa mada
 
Sahihi mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Kawaida ya ignorant Africans, watu wenye roho mbaya au watu wenye akili za 70 years ago, sio uhamiaji tuu,ofisi nyingi ndio hali halisi, badala ya kusaidia tatizo anaangalia namna ya kukukwamisha au kupata rushwa
 
Ni uvivu wa serilkali yetu tu, hao watu mizigo yao mingi wanategemea bandari yetu, mafuta wanategemea bomba lililopita kwetu.

Nashangaa watanzania wanavyonyanyaswa na Immigration wakiwemo madereva wetu wanaolalamika kuonewa na matrafki wa Zambia.

Kuwatuliza hao wazambia ni suala dogo tu, unawabana bandarini tena kwa maksudi, akili zinawarudi.
 
Back
Top Bottom