hajaongelea ukabila bali utanzania yaonekana wewe ni mkabila sana
Wassira! Nasikia JK na Membe baba yao ni mmoja?Pinda...
Makinda...
(appearance zao)
Kiongozi flani hivi mkubwa,yeye kila siku anasafiri kwenda kwao
marekani na kuzunguka dunia,tanzania ni sehemu yake ya kazi ingawa haipendi
ndugu yangu ndalo jifunze kusoma vizuri na kuelewa kabla hujaandika nimezungumzia Utanzania ukabila umetoka wapi. inaelekea mitihani mingi ulifeli si kwa kutofahamu bali kwa kutoelewa maswali
Pinda...
Makinda...
(appearance zao)
Kiongozi flani hivi mkubwa,yeye kila siku anasafiri kwenda kwao
marekani na kuzunguka dunia,tanzania ni sehemu yake ya kazi ingawa haipendi
Wassira! Nasikia JK na Membe baba yao ni mmoja?
Hii nchi hatuna historia ya watu kuulizana wametoka nchi gani, inamaanisha wewe sio Mtanzania kwakua watanzania hatuna historia ya kuulizana utaifa! Au wewe ni ofisa wa uhamiaji?
Naona daliliza kuishiwa hoja kwa baadhi ya members sasa!
1. Mbowe, baba yake mzazi ni Mzanaki alitokea Burundi.
Hakuna Mtanzania hapo. Wote ni Watanganyika. Mimi nilisikia mahala kuwa baba ya JK alikuwa DC enzi hizo. Akakutana na mama ya Membe huko walikokutana. Akazaliwa Membe. Akatelekezwa na DC Mrisho Kikwete. Wamisionari wakatoliki wakamchukua kumlea. Membe akasoma vizuri. Akaingia UwT. Sasa yuko pale alipo.kweli!? ...lakini ni Mtanzania?
Inasemwa kuwa Freeman eti ni mtoto wa Julius! Maneno ni mengi mtaa huu.Una maana mzee Aikaeli Mbowe(marehemu) wa pale kijiji cha Nshara ninayemfahamu tangu utotoni au mtu mwingine?. Thibitisha la sivyo utakuwa umelogwa au umetumwa.