Baada ya Afrika Kusini, Tanzania ni destination ya pili ya wahamiaji haramu Afrika?

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,712
6,510
Ukiachana na South Africa ambayo kwa sasa iko Oversupplied na Wahamiaji haramu kutoka pande zote za Dunia, Tanzania huenda ni kituo cha pili cha wahamiaji haramu kwa Africa ukiitoa hio South Africa, urahisi wa kuingia na kupata docoments unawavutia sana wahamiaji haramu kuja Tanzania.

Kumbuka kuna ambao wana vitambulisho vya Taifa vya Uraia, pamoja na uongeaji wao kuwatofauitisha, Kuna Mkenya mmoja hadi leo huwa nashindwa kujua alipatapata vipi kitambulisho make lafudhi tu inamkamata ila ndio hivyo anakitambulisho cha uraia.

Tanzania kuna wahamiaji haramu wengi sana kuliko tunavyo elewa. Hawa wamejaa hasa Arusha na Dar es salaam na kiasi miji mingine kama Mwanza, Hii miji miwili ndio kituo kikuu cha wahamiaji haramu.

Asilimia 99 yao wanajulikana na Uhamiaji na huko ndiko watu wa uhamiaji wanako tajirikia. Wapo ambao wanatoka usiku tu kutembea na mchana hutawaona kabisa.

Wapo walio kwenye viwanda vya wale Ndugu zetu.

Ukiachana na wahamiaji kutoka Africa, wapo kutoka Asia hasa India na Pakstani hawa wanajichanganya na wale Watanzania wenye asili ya Asia, na hata hivyo hawa Watanzania wenye asili ya Asia ndio wanao waleta nchini.

Wengi wa hawa wahamiaji ni wanafanya kazi,kwa kificho au wazi wazi.

Hii nimeandika kwa sababu nilikutana wiki iliopota na Mhamiaji mmoja kutoka moja ya nchi za west Africa tukapiha piga naye stories ndio akaniambia Tanzania kwetu ni pazuri sana hatusumbuliwi na Maaskari wenu wa uhamiaji kama ilivyo nchi zingine za Africa na pia kasema sisi Watanzania hatuna shida na wahamiaji.

Ile oparation Dudula ya Wazulu South Africa huenda wale Wahamiaji waka opti Tanzania kwa sababu hizo za urahisi wa kuishi bila kusumbuliwa.
 
Mwaka 2015 nilipandia basi Mbeya kwenda Dar, kwenye gari za kutokea Sumbawanga nyuma yangu walikaa vijana wawili ambao kwa lugha Yao nilibaini sio watanzania maana hata kiswahili hawajui, sikujisumbua nao. Lakini siku kadhaa mbele kwa bahati nzuri niliwaona Posta wanazulula, nikajisemea Tanzania uhamiaji haramu ni janga.
 
Wacheni izo, waacheni wajitafutie maisha wanaiona Tz inawapatia kula ya siku,mbona machogo kibao mmekimbilia Zenji kwa wapemba ? Na jamaa zenu wengi tu wapo UK cnada USA na nchi zingine.
Yaani ilikuwa hata wale waethiopia wanaokatiza hapa kuelekea South Afrika wangesaidiwa tu wavuke yaani mnaodandia meli mnajua vipi cross-border.
 
Unashangaa kitambulisho ,Zanzibar machogo wana cha nida na cha Uzanzibari ,ulaya huko watu wana mpaka pasipoti.
 
Waziri wako wakilimo mfadhili wako wa Simba bila uhamiaji haramu Leo hii wasingekuwepo ,acha watu watafute maisha , wabongo kibao nnje nao watafutaji ni sehemu ya maisha TU as long as hawavunji Sheria au kufanya vitendo viovu.
 
Wacheni izo, waacheni wajitafutie maisha wanaiona Tz inawapatia kula ya siku,mbona machogo kibao mmekimbilia Zenji kwa wapemba ? Na jamaa zenu wengi tu wapo UK cnada USA na nchi zingine.
Yaani ilikuwa hata wale waethiopia wanaokatiza hapa kuelekea South Afrika wangesaidiwa tu wavuke yaani mnaodandia meli mnajua vipi cross-border.
Ni chizi pekeako ndo anakimbilia zenji wakati mababu na wajomba zenu wakimbilia huku kuja Kuuza pweza na kutembeza samaki
 
Ukiachana na South Africa ambayo kwa sasa iko Oversupplied na Wahamiaj haramu kutoka pande zote za Dunia,Tanzania huenda ni kituo cha pili cha wahamiaji haramu kwa Africa ukiitoa hio South Africa,urahisi wa kuingia na kupata docoments unawavutia sana wahamiaji haramu kujaTanzania.

u South Africa huenda wale Wahamiaji waka opti Tanzania kwa sababu hizo za urahisi wa kuishi bila kusumbuliwa.
Wahamiaji haramu ni wengi Tanzania kwa sababu ya Rushwa na falsafa ya ccm.
 
Wacheni izo, waacheni wajitafutie maisha wanaiona Tz inawapatia kula ya siku,mbona machogo kibao mmekimbilia Zenji kwa wapemba ? Na jamaa zenu wengi tu wapo UK cnada USA na nchi zingine.
Yaani ilikuwa hata wale waethiopia wanaokatiza hapa kuelekea South Afrika wangesaidiwa tu wavuke yaani mnaodandia meli mnajua vipi cross-border.
Tatizo ni wahamiaji haramu na Raia feki wanao jiingiza kwenye siasa na dola hao ndiyo wabaya kama kina Rostam azizi
 
Wacheni izo, waacheni wajitafutie maisha wanaiona Tz inawapatia kula ya siku,mbona machogo kibao mmekimbilia Zenji kwa wapemba ? Na jamaa zenu wengi tu wapo UK cnada USA na nchi zingine.
Yaani ilikuwa hata wale waethiopia wanaokatiza hapa kuelekea South Afrika wangesaidiwa tu wavuke yaani mnaodandia meli mnajua vipi cross-border.
4593AF0B-ABF7-434E-A20A-F232D96215C9.png

E2C4E5F9-3E9D-4811-A7BB-F3692F8CB70E.png
 
Eti ukitoa south africa😂😂😂 ni Tanzania.
Wee bwana umefika Uganda wewe, umefika Congo wewe. Hizo ni nchi za karibu yetu. Zimetuzidi pakubwa saana.
Sasa kutoa south nenda ivory coast pale ndio balaa zaidi.
Sema Tanzania kuna idadi nzuri ya whamiaji ambayo ni kawaida sana. Fika congo au uganda ndio utajua sasa nini maana ya wahamiaji haramu.
 
Ukiachana na South Africa ambayo kwa sasa iko Oversupplied na Wahamiaji haramu kutoka pande zote za Dunia, Tanzania huenda ni kituo cha pili cha wahamiaji haramu kwa Africa ukiitoa hio South Africa, urahisi wa kuingia na kupata docoments unawavutia sana wahamiaji haramu kuja Tanzania.

Kumbuka kuna ambao wana vitambulisho vya Taifa vya Uraia, pamoja na uongeaji wao kuwatofauitisha, Kuna Mkenya mmoja hadi leo huwa nashindwa kujua alipatapata vipi kitambulisho make lafudhi tu inamkamata ila ndio hivyo anakitambulisho cha uraia.

Tanzania kuna wahamiaji haramu wengi sana kuliko tunavyo elewa. Hawa wamejaa hasa Arusha na Dar es salaam na kiasi miji mingine kama Mwanza, Hii miji miwili ndio kituo kikuu cha wahamiaji haramu.

Asilimia 99 yao wanajulikana na Uhamiaji na huko ndiko watu wa uhamiaji wanako tajirikia. Wapo ambao wanatoka usiku tu kutembea na mchana hutawaona kabisa.

Wapo walio kwenye viwanda vya wale Ndugu zetu.

Ukiachana na wahamiaji kutoka Africa, wapo kutoka Asia hasa India na Pakstani hawa wanajichanganya na wale Watanzania wenye asili ya Asia, na hata hivyo hawa Watanzania wenye asili ya Asia ndio wanao waleta nchini.

Wengi wa hawa wahamiaji ni wanafanya kazi,kwa kificho au wazi wazi.

Hii nimeandika kwa sababu nilikutana wiki iliopota na Mhamiaji mmoja kutoka moja ya nchi za west Africa tukapiha piga naye stories ndio akaniambia Tanzania kwetu ni pazuri sana hatusumbuliwi na Maaskari wenu wa uhamiaji kama ilivyo nchi zingine za Africa na pia kasema sisi Watanzania hatuna shida na wahamiaji.

Ile oparation Dudula ya Wazulu South Africa huenda wale Wahamiaji waka opti Tanzania kwa sababu hizo za urahisi wa kuishi bila kusumbuliwa.

Nakubaliana na hilo.
Hakuna nchi yenye ustawi na iliyotulia kama Tanzania.
Vyovyote iwavyo, tutawavumilia wa wahamiaji (halamu) wenye kutuletea faida kwa nchi, lakini wale watu wa hovyo hatuwataki asilani.
 
Anayetakiwa kisheria kulinda borders zetu ni jeshi letu la ulinzi, sio uhamiaji au police, hizi porous borders zimesababishwa na jwtz kutotimiza wajibu wao, wanajifanya mashujaa kwa kupiga raia na sio kutimiza wajibu wao, wahamiaji sheria zetu zinawakaribisha ila LAZIMA wapitie mlangoni sio dirishani au kuruka ukuta, utajisikia vipi wewe mgeni wako aingie kwako kwa kutumia dirisha?au kuruka ukuta?
 
Waziri wako wakilimo mfadhili wako wa Simba bila uhamiaji haramu Leo hii wasingekuwepo ,acha watu watafute maisha , wabongo kibao nnje nao watafutaji ni sehemu ya maisha TU as long as hawavunji Sheria au kufanya vitendo viovu.
Umejuaje hawavunji sheria wakati tayari tayari ni wanakaa kinyume cha sheria?
 
Kwa watu waliozoea msoto kama Wahabeshi na Wasomali,South Africa kwao ni green pastures.Tanzania na nchi zingine za Africa inakuwa sio destination yao ni njia tu.Wanapofika SA Hao wajuba wanapokelewa na ndugu zao ambao wanapewa ajira au mitaji ya biashara.Hao jamaa ni wapiga Kazi haswa,baadae ya miaka kadhaa wanakuwa tayari na mitaji ya kutosha au matajiri kabisa.Wengine hata huamia Marekani,Kanada na Ulaya.ikifikia hiyo level hutuma hela kwa jamaa zao waje na Wao.Huu ndio mzunguko wa wahamiaji haramu unavyokuwa.Kitu cha ajabu huwa tunaambiwa wamekamatwa wao lakini hatuambiwi walipokamatwa walikuwa na kiasi gani cha pesa.Kwa akili za kawaida huwezi kusafiri Toka Ethiopia mpaka South Africa,Tena Kwa njia za panya bila kuwa na kiasi kikubwa cha pesa.Uhamiaji watuambie hizo pesa wanazokamatwa nazo Hao Watu huwa wanapeleka wapi?
 
Umejuaje hawavunji sheria wakati tayari tayari ni wanakaa kinyume cha sheria?
Mkuu umemjibu vema kabisa,upumbavu huu ndio unafanya nchi hii iwe banana republic, nani anaweza kuruhusu kuishi na mtu ndani ya nyumba yake asiyetambulika, na pia kaingia kwa kutumia dirisha, it's craze
 
Back
Top Bottom