Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

mkuu international whatever zinakuja baada ya kusafiri nje- bado uko pale pale utapewa passport kwa madhumuni ya kusafiri nje ya nchi na lazima uonyeshe uthibitisho kuwa unatakiwa kusafiri- mbona ni rahisi tu mkuu?

Dunia imebadilika, kutafuta fursa vitu vingi vinaanzia online before hata hujawaza kusafiri na passport number inahitajika.
 
kweli bado tuko nyuma sana kwenye mambo mengi ikiwa pamoja na hili la passport. nchi nyingi hata majirani zetu kenya wanazalisha watalaam wa nyanja mbalimbali na kutokana na uhaba wa ajira nyumbani watu wao wapo karibu kila mahali duniani wakitumia taluma zao nakutuma pesa nyumbani. kwao ili kupata pasport unahitaji ID yako na ya mzazi pamoja na cheti cha kuzaliwa basi.

Kenya pia unaweza kusafiri kwenda Uganda Rwanda kwa kutumia National ID tu wakati Tanzania hata hizi ID imeshindikna kupatikana mimi niliomba ID miaka 5 iliyopita hadi sasa sijapata. Watu wenye passport kenya ni wengi sana ukilinganisha na tz. Nasikia TZ, wenye passport ni kama watu milioni moja tu kati ya watu M60.. lakini vituo vya kutoa passport kenya ni vinne tu kwa nchi nzima, wakati TZ kila mkoa kama sio wilaya inatoa passport lakini bado kuipata ni shida. Tz uhamiji ni Jeshi kama polisi labdandio maana huduma zao ni mbaya au ndio njia ya kufanya WAPATE RUSHWA.

Imefika wakati huduma za uhamiji zi boreshwe. Uhamiajiisiwe kikwazo kwa wananchi kwenda nje kujitafutia maisha na shughuli nyingine nyingi. kuna njia nyingine nyingi za kudhibiti wahalifu na mafukara wasioweza kujisimamia huko nje.
Uhamiaji iwe Idara ya kuwezesha Watanzania na sio kudhibiti tu.
 
kwani ukimpa mtu passport akakaa nayo unapungukiwa na nini? Kwani unampa bure?

tanzania pekee ndo tunaona passport NI MALI. Nchi nyingi haya mambo hayapo.
Nadhani huna rafiki nje ya nchi. Kama unaye mwulize utaratibu wa kupata passport.

Kama una safari ya nje, ndani ya wiki moja unapata passport
 
mkuu international whatever zinakuja baada ya kusafiri nje- bado uko pale pale utapewa passport kwa madhumuni ya kusafiri nje ya nchi na lazima uonyeshe uthibitisho kuwa unatakiwa kusafiri- mbona ni rahisi tu mkuu?

Yah right! So with me a Tanzanian citizen when booking a room in Serena hotels hapa hapa Dar nikiombwa passport number for a 10 days stay ni international eeh!?!
 
Vya kwetu tunavipenda lakini tukubali vilivyotuzidi
Mabeberu lazima tuwashinde na kuwaangamiza, tumewashinda na likorona lao la ajabuajabu na machanjo yao ya hovyohovyo. Sikuhizi wanakuja huku na tundege twao kujifunza jinsi ya kujifukiza njia ambayo ni salama na bora.
 
Yah right! So with me a Tanzanian citizen when booking a room in Serena hotels hapa hapa Dar nikiombwa passport number for a 10 days stay ni international eeh!?!
Mkuu wako wengine wanaomba hata cheti cha ndoa- mamboambayo hayana maana-niko pale pale ndani ya nchi yako passport siyo kitambulisho muafaka
 
SiO kila anayetaka kusafiri basi ana rafiki.
Wengine wanataka kwenda kwa aajili ya kutafuta maisha.
Nadhani huna rafiki nje ya nchi. Kama unaye mwulize utaratibu wa kupata passport.

Kama una safari ya nje, ndani ya wiki moja unapata passport
 
Dunia imebadilika, kutafuta fursa vitu vingi vinaanzia online before hata hujawaza kusafiri na passport number inahitajika.
Mkuu acha kuongeza chumvi- mwishoni huwa kuna any other identity

A passport is a travel document, usually issued by a country's government to its citizens, that certifies the identity and nationality of its holder primarily for the purpose of international travel.[1] Standard passports may contain information such as the holder's name, place and date of birth, photograph, signature, and other relevant identifying information.
 
Passport ni standard document kwenye mambo mengi ya nje na sio kila sehem wanakupa option ya other identity, kwa wenye passport tunaona kawaida ila kwa wasio nazo kama inaleta urahisi kwa nin iwepo urasimu kutolewa as if ni kitambulisho cha kwenda peponi. Unatetea urasimu usiokuwa na maana.
 
Mkuu unafanya mazoea mabaya kuwa kawaida- siyo sawa- ukiacha ubishi usio na maana passport itabaki na ni hati ya kusafiria- haiwezi kutolewa kwa kila mtu mithili ya cheti cha kuzaliwa au cha kifo

Utaratibu wa uhmiaji ni wa zamani sna. nadhani sasa kuna haja ungaliwe upya na kufanyiwa marekebisho. Tutumie wabunge wetu wapeleke hoja Bungni ili kuboresha Idara /Jeshi la uhamiji.
Hivi mtu akipata safari ya ghafla nje ya inchi?

Akae week 3 asubiri passport?

Passport ni hati ya safari,,

Ni haki yako kuwa nayo kama raia..bila vipingamizi vyoyote.

Popote duniani.

Kitambulisho cha uraia ni ngumu kupata kuliko kupata passport

Tatizo la inchi hii wameweka wepesi kwenye vitambulisho vya taifa ,,na kuweka ugumu kwenye passport

Ajabu kabisa.
 
Mabeberu lazima tuwashinde na kuwaangamiza, tumewashinda na likorona lao la ajabuajabu na machanjo yao ya hovyohovyo. Sikuhizi wanakuja huku na tundege twao kujifunza jinsi ya kujifukiza njia ambayo ni salama na bora.
Kwa namna tunavo enenda hiyo itabaki kuwa ndoto miaka yote
 
Mkuu unafanya mazoea mabaya kuwa kawaida- siyo sawa- ukiacha ubishi usio na maana passport itabaki na ni hati ya kusafiria- haiwezi kutolewa kwa kila mtu mithili ya cheti cha kuzaliwa au cha kifo
Mkuu nakuomba unichambulie hoja yako kwa nini passport isitolewe freely ili nikuelewe, nachoona hapa umekomalia msimamo tu bila sababu za msingi.

Sheria ya Passport na Hati za Kusafiria ya Mwaka 2002, Kifungu Namba 10 (1) mpaka (7) na Kifungu Namba 11 kimeweka wazi hilo unalosema but there is more room for improvement. We unaumia nin na nchi inapata hasara gani raia wakipata passports.
 
Back
Top Bottom