Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

Ndio ukifika hiyo stage ukaombe uone kama utaikosa.... sioni kama kuna kunyimwa passport, ni utaratibu tuu
Halafu mrangi kwani yako imesha eksipaya!?
Kule British School posta kama unataka kufanya TOEFL Exams kwa ajili ya VISA za UK hasa kwa wanaotaka kwenda kusoma wanataka Passport.

Unadhani kwa mazingira anayoelezea huyo Bwana hapo juu unapataje passport?
 
SCREEN SHOT OR PRINT-
Mkuu passport ni hati ya kusafiria wala siyo kitambulisho kwa jiyo kama huna safari haina maana yoyote labda hapa kwetu tu kwa sababu ya matumizi mabaya ya passport kinyume cha madhumini yake. Hili ndilo uhamiaji wanajaribu kulirekebisha- ni ngumu ila wako sahihi.

Haina maana yoyote kwako zaidi ya international safari, but with people going into international hotels and international deals , passport number is an essential!
 
serikali imekataa biashara ya huduma
Hizi procedure tuu lakini mtu mwenye safari hawezi nyimwa passport
Una safari Ya US, VISA ya US kila mtu anaijua ilivyokuwa mtiti kuipata. Unaenda kata ticket kichwa kichwa eti ukaitumie kuchukulia passport? Huo ni wehu.
 
Huu ni upuuzi mwingine, kweli wewe na akili yako unawezaje kuingia gharama. Kama huna hitaji nayo! Hivi hawa watu wanatuchukuliaje reasoning capacity yetu?
 
Kuna namna nyingi waTZ tunaendelea kubaki nyuma katika nyanja za kuhangaikia mishe za kimaisha hapa ndani na nje. Hili la masharti ya passport ni mojawapo, na tutaendela kuzidiwa na majirani mpk tukome.

Passport sii ya kusafiria tu, kwenye international documents za kuomba tender, kazi, kutafuta masoko nje etc kujaza jaza mafomu yoyote passport ndo inakutambulisha wew ni nani, kitambulisho cha NIDA hakitambuliki kimataifa.

Hivi ni nani alituroga, khaaa!
 
Sasa utaombaje passport kama huna matumizi nayo?

Si unakua na mpango wa safari ndio unatafuta passport!? Au nakosea ndugu zangu
Uko sahihi lazima uwe na Safari,lakini ikitokea nikabwa na vibaka wakaondoka na pass wakijua wallet ndio nilipe 500000 hii ni adhabu sasa Kwa nini nimepoteza,wakati hii Tu ada ya 150000 watu wanachemsha itakuwa 500000
 
Haina maana yoyote kwako zaidi ya international safari, but with people going into international hotels and international deals , passport number is an essential!
mkuu international whatever zinakuja baada ya kusafiri nje- bado uko pale pale utapewa passport kwa madhumuni ya kusafiri nje ya nchi na lazima uonyeshe uthibitisho kuwa unatakiwa kusafiri- mbona ni rahisi tu mkuu?
 
Kuna namna nyingi waTZ tunaendelea kubaki nyuma katika nyanja za kuhangaikia mishe za kimaisha hapa ndani na nje. Hili la masharti ya passport ni mojawapo, na tutaendela kuzidiwa na majirani mpk tukome.

Passport sii ya kusafiria tu, kwenye international documents za kuomba tender, kazi, kutafuta masoko nje etc kujaza jaza mafomu yoyote passport ndo inakutambulisha wew ni nani, kitambulisho cha NIDA hakitambuliki kimataifa.

Hivi ni nani alituroga, khaaa!
he- unasema?
 
Back
Top Bottom