Uhamiaji bado kuna tatizo kubwa sana

Uhamiaji bado kuna tatizo kubwa sana

.
Aaah kumbe za serikali nazo zinauzwa kwa elfu 50000?
Sasa kuna shida gani kwa mtu kuongeza dau apate mapema kama hizi za elfu50 zinachelewa?
Mie nilidhani labda madaraja yanatofautiana kwamba ya eflu hamsini ni daraja tofauti na ya laki tatu kumbe kitu ni kile kile?
Hata kaa mie wenye haraka zao ningewapa kipaumbele kupunguza msongamano
Nenda kajionee mwenyewe.
 
Mm namshukuru mtoa post mana nina shida na hyo kitu.
Na sitaki haraka ngoja niende vibandani tu hakuna namna.
 
.
Aaah kumbe za serikali nazo zinauzwa kwa elfu 50000?
Sasa kuna shida gani kwa mtu kuongeza dau apate mapema kama hizi za elfu50 zinachelewa?
Mie nilidhani labda madaraja yanatofautiana kwamba ya eflu hamsini ni daraja tofauti na ya laki tatu kumbe kitu ni kile kile?
Hata kaa mie wenye haraka zao ningewapa kipaumbele kupunguza msongamano
Labda nikuweke wazi kwanini matapeli au vishoka wanachukua pesa ndefu na pasipoti inawahi kutoka? Uhamiaji wao hutoa kipaumbele kwa mtu mwenye uhitaji wa dharura kwenda kwenye mikutano ya kimataifa yenye maslahi na nchi, vikao au chochote kile kwa manufaa ya nchi pia wagonjwa mahututi kwenda nje ya nchi. Sasa kishoka ni mzoefu wa kutengeneza docs kama hizo lazima afanikiwe ndani ya siku chache paspot itoke.
 
Ok, kama ni kuondoa vishoka ni sisi kufuata tu taratibu za uhamiaji na kuachana nao. Mi toka 2002 nina passport na wala sijawahi kutumia kishoka. Nimerenew hapohapo kurasini na wala sijasumbuliwa na sijaonana na kishoka.

Sent from my PHANTOM5 using JamiiForums mobile app
Uko sahihi kabisa. Vishoka au kutoa rushwa ni sisi wateja ndio tunao-entertain hayo mambo
 
Hata sisi tunayajua uliyoyaeleza ila uhalisia ni tofauti kabisa na haya maelezo. Kurasini pale rushwa inanadiwa bila uoga kabisa.
Binti kiziwi njoo PM tuongee. Mie ni mwana club ya PCCB hivyo nahitaji taarifa zako tuweze kuwabamba hao wanaopindisha utaratibu ili wajipatie pesa haramu
 
Binti kiziwi njoo PM tuongee. Mie ni mwana club ya PCCB hivyo nahitaji taarifa zako tuweze kuwabamba hao wanaopindisha utaratibu ili wajipatie pesa haramu
Nilishuhudia hayo siku moja nilipoenda kutafuta pass ya mdogo wangu kwenda masomoni, sina kingine cha kukusaidia kuwanasa hao watu, kama unahusika ushapewa pakuanzia. Kazi kwenu. Uhamiaji inanuka rushwa na sio jambo la kujificha
 
Vyeti vimeanza mwaka gani

Sent from my PHANTOM5 using JamiiForums mobile app
We jamaa acha kuchanganya mada.affidavit na vyeti vya kuzaliwa ni vitu viwili tofauti.
Wewe umesema umepeleka affidavit inatosha.japo mwanzo ulitaka kutudanganya kuwa ulipeleka vyeti vya wazazazi wako.
Affidavit hati ya kiapo unayotokewa mahakamani.cheti cha kuzaliwa kinatolewa hospitali au Rita.
 
Tatizo watanzania wanapenda kufanyiwa kila kitu ndio wajanja wanapata upenyo wa kuwalia pesa zao. Mfano kuna dogo mmoja alikuja kwenye steshenari mojawapo za hapo karibu na uhamiaji kama mpiga picha za paspot, lakin badae aligeuka kuwa mtaalamu wa kujaza fomu za paspoti kwa elfu 2 tu. Kwa siku alikuwa na uhakika wa kutoka na elfu 30 achilia mbali kazi yake ya kupiga picha.
Auoni suala la e service kwa maana ya kuachiwa private sector ujenga dhana za rushwa connection, kwanini idara isiwe na kitengo cha ndani cha kutoa au kujazia form kuliko kuwapa watu wa vibanda vya nje kutoa huduma hio,
 
Kweli hata mie nilisikia kuna tatizo la uhaba wa vitabu na hili sio la uhamiaji peke yao kwani hata TRA mwaka jana walitoa Press Release kuwa hawana kadi za kutengenezea Leseni. Na hata polisi waliwahi kulalamikiwa kuwa hawana vitabu vya Notifications na vitabu vya risiti japo nilisikia tu kwa madereva sina hakika kwa kuwa mara nyingi vyombo vya ulinzi na usalama huwa havianiki mambo yao hadharani
Sasa km hawakuwa na Vitabu vya notification na risit kuna haja gani ya kupokea hela,kuna usalama au uhakika gani nikitoa hela bila risit.
 
Shida watanzania wagumu kufuata utaratibu, mtu anakata passport hadi inaisha hajaenda hata burundi arafu anataka nyingine
Sababu ya safari hana pia yeye anataka aende tu kama wale walioenda airport kutaka kwenda israel bila visa wala
Me nadhani ukikamilisha vigezo hautosumbuliwa
Sio mbaya kuongeza mapato anaweza ikawa kachelewa au kaikosa safari, hatuna utaratibu wa kukata paspot bila sababu.
 
Ni makosa kwa vibanda binafsi kutoa huduma za serikali kwa mazingira hayo rushwa au cha juu hakiepukiki.
Kwani Uhamiaji wenyewe hawalijui hilo.
Kwani wale wenye fremu.hizo passport wana tengeneza wenyewe?si wanarudi tena mule mule kwenye jengo.
Je Uhamiaji uwa hawawaulizi?
 
Auoni suala la e service kwa maana ya kuachiwa private sector ujenga dhana za rushwa connection, kwanini idara isiwe na kitengo cha ndani cha kutoa au kujazia form kuliko kuwapa watu wa vibanda vya nje kutoa huduma hio,
Hivi wale wanao omba vyuo au mkopo online wote hujaza wenyewe bila msaada wa statinery? Kwanini iwe uhamiaji peke yake? Hao HESLB, TCU zamani au vyuo wana vitengo ndani ya ofisi zao kusaidia kujaza fomu? Be realistic brother
 
Sasa km hawakuwa na Vitabu vya notification na risit kuna haja gani ya kupokea hela,kuna usalama au uhakika gani nikitoa hela bila risit.
[emoji23][emoji23] ulitaka usipigwe faini kwa kosa lako kisa risit hakuna? Si waliambiwa waende baada ya siku kadhaa wachukue risiti
 
Back
Top Bottom