Uhamiaji bado kuna tatizo kubwa sana

Uhamiaji bado kuna tatizo kubwa sana

Hivi wale wanao omba vyuo au mkopo online wote hujaza wenyewe bila msaada wa statinery? Kwanini iwe uhamiaji peke yake? Hao HESLB, TCU zamani au vyuo wana vitengo ndani ya ofisi zao kusaidia kujaza fomu? Be realistic brother
Document za usalama ni tofauti na document za huduma zingine, shughuli yeyote ikishausisha wasiohusika vishawishi havikwepeki ingawa si kwa wote.
 
[emoji23][emoji23] ulitaka usipigwe faini kwa kosa lako kisa risit hakuna? Si waliambiwa waende baada ya siku kadhaa wachukue risiti
Me naenda Mwanza nikupe hela uniambie siku nyingine kivipi kwann na wwe usichukue hela siku nyingine,Hakuna risit hakuna hela kutoka.
 
Document za usalama ni tofauti na document za huduma zingine, shughuli yeyote ikishausisha wasiohusika vishawishi havikwepeki ingawa si kwa wote.
Usalama upi? Fomu ya passport haina security features zaidi ya serial number. Passport ndio yenye security features. Ndio maana ikawekwa public kwenye www.immigration.go.tz/ppt_application ili kila mmoja mwenye uhitaji aweze kujijazia
 
We jamaa acha kuchanganya mada.affidavit na vyeti vya kuzaliwa ni vitu viwili tofauti.
Wewe umesema umepeleka affidavit inatosha.japo mwanzo ulitaka kutudanganya kuwa ulipeleka vyeti vya wazazazi wako.
Affidavit hati ya kiapo unayotokewa mahakamani.cheti cha kuzaliwa kinatolewa hospitali au Rita.
Jibu mujarabu hili. Thumb up
 
Me naenda Mwanza nikupe hela uniambie siku nyingine kivipi kwann na wwe usichukue hela siku nyingine,Hakuna risit hakuna hela kutoka.
[emoji23][emoji23][emoji23] haya bana. Let me give up
 
Mimi nliomba pasport kanda ya ziwa nikaambiwa express laki na nusu, nikatanguliza elf60 nikakaa wiki tatu hakuna kitu. Kwa vile safari ilikuwa imekaribia. Ikanibidi kwenda kufuatilia visa ubalozi wa india sasa zilipobakia siku sita za safari jamaa nampigia huku haeleweki, mm ikabidi niende kurasini mwenyewe. Kuulizia nikaambiwa hakuna pasport yangu hivyo nianze utaratibu upya. Kusema kweli pasport ilitoka ndani ya siku 4 na sikutoa rushwa hata shilingi na sikuwa na mtu nliejuana naye
 
Pia wanaogongesha mihuri ya wanasheria nafikiri hawana shida hao wamesogeza huduma karibu na wahitaji. Yawezekana ni wawakilishi wa wanasheria
 
Naona haya ya usafiri ndo kumekimbilia rushwa hatari, kuna rushwa takatifu huko. Hii haina tofauti na vituo vya reli kuna kipindi niko pale central nataka kukata tiketi ya delux lakini nilichokishuhudia ni mizengwe ya hatari. Unaambiwa tiketi zimeisha lakini ndani kwa ndani sijuhi ndo ma TT wanazo za kwao kwa wanaofikia dau, utaambiwa ingia pale na kweli ukifika pale unaulizwa unataka daraja lipi na kwenda wapi? kabla ujageuka inaletwa tiketi na unatajiwa kiasi kwa maelewano upya.

Nilijiuliza kama hii treni ni delux mbona inaharibiwa hadhi yake? kwanini pia kusiwepo namna ya kudhibiti tiketi na ikiwezekana hata msafiri akalipia online?

Jingine lililoniacha hoi ni eneo la treni nzuri kabisa kutokuwa na hata eneo la wanaokata tiketi kupumzika kwa kukaa kidogo, unaweza kupanga mstari wa tiketi kwa masaa 3 ukiwa umesimama na kibaya zaidi ukifika dirishani unaambiwa zimekwisha, yaani ni full ubabaishaji. Unajiuliza ni kwanini haya mateso, yaani akina mama waja wazito na leo vile watu wanavyotembea na magonjwa bado mnaifanya huduma yenu ya kicruel namna ile kweli? Inawagharimu nini mkaweka mabenchi hata mawili hivi ili kuwastiri wateja wenu, haya mambo huku kwa wanaosafiri kweli ni adhabu sana.

Ni unyama kabisa
 
Mi nataka jumatatu niende uhamiaji hapa Mwanza,,sijui watanipa kwa muda gani hiyo passport naitaka harakaaa
 
Na wewe unapata wapi ujasiri wa kumfuata akusaidie huku ukijua huyo sio authorised officer wa pasipoti? Watu wengine tubadirike bwana we unaenda kuchezea mzinga wa nyuki wakikuuma unashangaa
Una maneno wewe
Nipe maujanja na mie j3 nisiadhirike jamani
 
Naona haya ya usafiri ndo kumekimbilia rushwa hatari, kuna rushwa takatifu huko. Hii haina tofauti na vituo vya reli kuna kipindi niko pale central nataka kukata tiketi ya delux lakini nilichokishuhudia ni mizengwe ya hatari. Unaambiwa tiketi zimeisha lakini ndani kwa ndani sijuhi ndo ma TT wanazo za kwao kwa wanaofikia dau, utaambiwa ingia pale na kweli ukifika pale unaulizwa unataka daraja lipi na kwenda wapi? kabla ujageuka inaletwa tiketi na unatajiwa kiasi kwa maelewano upya.

Nilijiuliza kama hii treni ni delux mbona inaharibiwa hadhi yake? kwanini pia kusiwepo namna ya kudhibiti tiketi na ikiwezekana hata msafiri akalipia online?

Jingine lililoniacha hoi ni eneo la treni nzuri kabisa kutokuwa na hata eneo la wanaokata tiketi kupumzika kwa kukaa kidogo, unaweza kupanga mstari wa tiketi kwa masaa 3 ukiwa umesimama na kibaya zaidi ukifika dirishani unaambiwa zimekwisha, yaani ni full ubabaishaji. Unajiuliza ni kwanini haya mateso, yaani akina mama waja wazito na leo vile watu wanavyotembea na magonjwa bado mnaifanya huduma yenu ya kicruel namna ile kweli? Inawagharimu nini mkaweka mabenchi hata mawili hivi ili kuwastiri wateja wenu, haya mambo huku kwa wanaosafiri kweli ni adhabu sana.

Ni unyama kabisa
Na mie niliwahi kwenda zenji siku narudi nàambiwa tiketi hakuna hadi keshokutwa. Nikauliza mbona Azam hawana haya mambo? Ilibidi nilipe nauli mara mbili ya hio.

Lakini hayo mambo Mzee Bakhresa hayajui ila ni watumishi wake wa chini wametengeneza kujiongezea kipato, then hata hapo Uhamiaji inawezekana baadhi wakawa na mambo ya ajabu ila sio msimamo wa idara.

Na kwa huyu mama Anna najua haendekezi haya mambo ndio maana aliwatoa makumi ya watumishi hapo makao wakabaki wachache kuungana na wapya kutoka mikoani.

Naomba tumshauri tu huyu mama azidi kuboresha badala ya kulaumu
 
Wakinipa ndani ya hizo siku 14 ntafurahiii...
Halaf mi sina vyeti vya kuzaliwa nna cheti cha uraia tu kile cha halmashauri watanikubalia?
Nyie ndo mnaokaribisha rushwa. Utaratibu unasema uwe na cheti cha kuzaliwa na cheti au affidavit ya mmoja wa wazazi sasa ww unaanza longolongo. Nenda wakakupige hela akili ikae sawa[emoji23][emoji23]
 
Nyie ndo mnaokaribisha rushwa. Utaratibu unasema uwe na cheti cha kuzaliwa na cheti au affidavit ya mmoja wa wazazi sasa ww unaanza longolongo. Nenda wakakupige hela akili ikae sawa[emoji23][emoji23]
Nitafata taratibu
Cheti cha kuzaliwa kile cha hospitali mi sinaa aisee
 
Naomba mju kuwa mie sifanyi kazi Uhamiaji. Nafanya IOM. Ni mdau mkubwa wa Immigration issues. Nimeamua kujibu hivi baada ya wadau kunituhumu PM kuwa mie ni kibaraka wa Uhamiaji Tanzania. Mie ni mtumishi wa International Organization for Migration.
 
Passpot kupata ukweli haina shida iwapo utakamilisha viambatanisho ulivotakiwa kuambatanisha, na km utaangalia ile form page ya mwisho inatoa maelezo tosha juu ya vielelezo ikiwa kielelezo cha dhumuni la safar
 
Back
Top Bottom