Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

Huo uzi ni kweli wangu na ni wa mwakajana nia ya kuandika nipo songea ilikuwa kumpata mtu sahihi kwakuwa natarajia kurudi kuishi songea ila kwasasa nipo capetown jimbo la western cape kitongoji cha saldanah ila natarajia kurudi songea ndyomaa nikasema nipo songea

Ningesema nipo south watu wangechukulis tofauti kutokna na uelewa wao
Sawa sawa
 
Humu wana watu wao rasmi wanaojiokotea, 2022 anatafuta mke yupo bombambili, ghafla yuko south toka 2003
Daah nimecheka sana Ma Legend wa miaka hiyo wametumia Passport ya Tanzania,Malawi,SA na Permit ya SA ukifinya dole gumba Airport yao wenyewe wanashangaa ukiwaambia ukweli wazee wa kazi wanashangaa unawaambia ndugu yenu mimi kutoka Mazimbu wanakuuliza mbona umerudi unatumia Passport ya Tanzania unajibu upande wa Mama huko wametaka niwe Raia wao ili nipate haki zangu maisha yanaenda...
 
Back
Top Bottom