steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,194
- 1,636
- Thread starter
- #121
Unaowasemea ni hao pichani zoom utawaona cjawapiga picha vzuri wasije jua nawapga pichaHahahah ila ni wazuri wana rangi flani ya chungwa.
Unaowasemea ni hao pichani zoom utawaona cjawapiga picha vzuri wasije jua nawapga pichaHahahah ila ni wazuri wana rangi flani ya chungwa.
Kuna watu hawaamini kuwa upo huko kwasababu ya wivu,au wanadhani wao ni special sana kuwa sehemu fulani.Unaowasemea ni hao pichani zoom utawaona cjawapiga picha vzuri wasije jua nawapga pichaView attachment 2679346
Hahaha [emoji23]Umefanya ukachero
Hata mimi nimelihisi hilo pia nimegundua wengi huisi south ni sehem flani hivi kumbe ni kwa kawaida ambako kuna watu hata kuandika hawawezi bora mimiKuna watu hawaamini kuwa upo huko kwasababu ta wivu,au wanadhani wao ni special sana kuwa sehemu fulani.
Sure mkuuUnaowasemea ni hao pichani zoom utawaona cjawapiga picha vzuri wasije jua nawapga pichaView attachment 2679346
Kawaida yetu wabongo tuna penda kumkadiria mtu kulingana na level zetu.Kuna watu hawaamini kuwa upo huko kwasababu ya wivu,au wanadhani wao ni special sana kuwa sehemu fulani.
Ndiyo hvyo ndugu wanaumanisha uwezo wa kuandika na mazingila anayouishi mtuKawaida yetu wabongo tuna penda kumkadiria mtu kulingana na level zetu.
Shusha vitu nduguNdiyo hvyo ndugu wanaumanisha uwezo wa kuandika na mazingila anayouishi mtu
Ndugu wanakomaa kuwa nipo songea sipo SA hata tukishilikishna jambo watadai nimehadithiwaShusha vitu ndugu
Mkuu coloured watamu? Au miyeyusho?Nimeona niwawekee na video muaminiView attachment 2679321
Watamu ila wanavta mno bangi na sigara ila wapo vzurMkuu coloured watamu? Au miyeyusho?
Poa nakuja Dizonga tarehe 10.09 nitakua Kimberley Kwa wiki 3Watamu ila wanavta mno bangi na sigara ila wapo vzur
🤣🤣🤣👍ukipata virusi vya ukimwi unalipwa kila mwezi
Umewahi fukuaSauz kama unapenda Yale Mambo utafukua mitaro Hadi uchoke
Upo mji gani na unafanya shughuli ganiTangu 2003
Alisha sema yupo Cape Town na short video aliweka.
Anafanya shughuli gn,,Alisha sema yupo Cape Town na short video aliweka.