Na yule anaemfumua shoga nae kilema?Huku ushoga ruksa na wanamchukulia kama kilema
Na yule anaemfumua shoga nae kilema?Huku ushoga ruksa na wanamchukulia kama kilema
Vibaru vya ujenzi vipo huko watu wanajenga kila uchao, mkuu wewe kuwa tuu msomali ukajilipue sauziVip kwa mafundi wa kujenga (Mason) vibarua mtaani vinapatikana? Maana bongo land hali imekuwa mbaya.
Kaka achana nao...watu wakijua hawawezi kufika hata hapo Kenya wanakua na hasira na watu..yani umejielezea bado hawaelewi..ni wivu tuuNimeona niwawekee na video muaminiView attachment 2679321
Yani yanaboa mnoo..sijui watu wana roho gani..kila kitu kupinga...Kuna watu hawaamini kuwa upo huko kwasababu ya wivu,au wanadhani wao ni special sana kuwa sehemu fulani.
Aibu mnoooooIkawaje wewe sasa ndio umerudi shimoni , kwa aibu....ziiiiiiiii