itoko jr
JF-Expert Member
- Feb 26, 2023
- 1,126
- 2,542
KazinguaYaani kwa nn hajaenda tu kumuonya pm??!
KazinguaYaani kwa nn hajaenda tu kumuonya pm??!
[emoji119][emoji119]Nimeipenda hyo huyo hatakaa arudi
[emoji28][emoji28]Pana muda anauliza jinsi ya kwenda Ulaya kutokea Tanzania leo hii yupo SA kwa kaburu toka 2003 uandishi huo sio wa msafiri yeye kapata hadithi mbili tatu kaamua kuja na Uzi...ila nzuri unaweza kuwamata wakina Maghayo...
Kwanini unadhani mimi nina marinda?Mkuu yani unatetea haya mambo bila aibu? Na wewe una marinda kweli?
Inabidi watu wajue maisha yao.[emoji16][emoji16]Wabongo bana! Wewe ulitaka ujumbe ukufikiaje kuhusu hao mashoga? Au ulitaka aongelee vyoote ila kuhusu ishu ya mashoga amute?? Kwanza unaanzaje kuandamana ugenini wakati kwenu hujawahi fanya hivyo?
Nikueleweshe kuhusu huo uzi ni kweli wangu na ni wa mwakajana nia ya kuandika nipo songea ilikuwa kumpata mtu sahihi kwakuwa natarajia kurudi kuishi songeaHuyu jamaa anaishi songea alafu analeta thread za sauzi africa eti kaishi sauzi Toka 2003 dah[emoji38][emoji38] ukiwa muongo uwe na memory kijana View attachment 2677999
Bro nimerudi huo uzi ni kweli wangu na ni wa mwakajana nia ya kuandika nipo songea ilikuwa kumpata mtu sahihi kwakuwa natarajia kurudi kuishi songea ila kwasasa nipo capetown jimbo la western cape kitongoji cha saldanah bayNimeipenda hyo huyo hatakaa arudi
Ohooo sorry kaka! Kama umefeel kua offendedBro nimerudi huo uzi ni kweli wangu na ni wa mwakajana nia ya kuandika nipo songea ilikuwa kumpata mtu sahihi kwakuwa natarajia kurudi kuishi songea ila kwasasa nipo capetown jimbo la western cape kitongoji cha saldanah bay
Hapo pichani ni Milnerton maeneo ya Capetown karibu na bandarini karibu na parkstation njia ya kuelekea slove street
View attachment 2678643
Huo uzi ni kweli wangu na ni wa mwakajana nia ya kuandika nipo songea ilikuwa kumpata mtu sahihi kwakuwa natarajia kurudi kuishi songea ila kwasasa nipo capetown jimbo la western cape kitongoji cha saldanah ila natarajia kurudi songea ndyomaa nikasema nipo songeaInshort kazingua
Hapana kikubwa kuwekana sawa kuhoji muhimuOhooo sorry kaka! Kama umefeel kua offended
Pamoja Sana 🙏🙏🙏Hapana kikubwa kuwekana sawa kuhoji muhimu
Leo pia huku app ya jf ilikuwa inazingua hata skujua kuwa kuna maswali ibidi kuyajibu ndyomaana wakahisi nimekimbiaPamoja Sana [emoji120][emoji120][emoji120]
unafanya ishu gani saivi uko south?Huo uzi ni kweli wangu na ni wa mwakajana nia ya kuandika nipo songea ilikuwa kumpata mtu sahihi kwakuwa natarajia kurudi kuishi songea ila kwasasa nipo capetown jimbo la western cape kitongoji cha saldanah ila natarajia kurudi songea ndyomaa nikasema nipo songea
Ningesema nipo south watu wangechukulis tofauti kutokna na uelewa wao
Haina shida kaka mambo yatakaa powaLeo pia huku app ya jf ilikuwa inazingua hata skujua kuwa kuna maswali ibidi kuyajibu ndyomaana wakahisi nimekimbia
unafanya ishu gani saivi uko south?Huo uzi ni kweli wangu na ni wa mwakajana nia ya kuandika nipo songea ilikuwa kumpata mtu sahihi kwakuwa natarajia kurudi kuishi songea ila kwasasa nipo capetown jimbo la western cape kitongoji cha saldanah ila natarajia kurudi songea ndyomaa nikasema nipo songea
Ningesema nipo south watu wangechukulis tofauti kutokna na uelewa wao
Mimi ni fundi welderunafanya ishu gani saivi uko south?
Bora umekua wazi ndugu. ukweli Ni kitu chemaKwanini unadhani mimi nina marinda?
Pana muda anauliza jinsi ya kwenda Ulaya kutokea Tanzania leo hii yupo SA kwa kaburu toka 2003 uandishi huo sio wa msafiri yeye kapata hadithi mbili tatu kaamua kuja na Uzi...ila nzuri unaweza kuwamata wakina Maghayo...