itoko jr
JF-Expert Member
- Feb 26, 2023
- 1,125
- 2,542
Kijana muongo alafu hana memory kabsaMwandiko tu unaonyesha huyu Mjinga hata South hajawahi kufika
Kijana muongo alafu hana memory kabsaMwandiko tu unaonyesha huyu Mjinga hata South hajawahi kufika
Imeisha hiyo.Songea ndiyo nyumbani kwetu maeneo ya msamala
Tatizo harufu kakaHahahah ila ni wazuri wana rangi flani ya chungwa.
South Africa ya kibaigwa labdaHuyu jamaa anaishi songea alafu analeta thread za sauzi africa eti kaishi sauzi Toka 2003 dah[emoji38][emoji38] ukiwa muongo uwe na memory kijana View attachment 2677999
Hahahaha [emoji23][emoji23]South Africa ya kibaigwa labda
Mbongo jeuri ya kumkaba Mzulu aipate wapi?Leo nataka niwape elimu kidogo kuhusu afrika kusini na maisha yake
Kwa kipindi kirefu mmekuwa mkisikia kuhusu mauaji hususani ya watanzania na mkawa hamuelewi mkawa mnatuhumu kuwa wazawa wanaua wageni hawawataki ipo hivi
Wabongo wengi wa kati ya umri wa miaka 19 mpk 37 wengi huku hawana ajira wengi wanakaba hiyo ipo wazi sasa wakienda kukaba ikatokea wakauawa kwa risasi au visu ndiyo mnapata taarifa kuwa wameuawa mnawatuhumu wazawa ukweli ni kwamba wameuawa wakiwa wanaiba 75% ya vifo chanzo ni hicho msidanganywe huwa tunawafichia tu siri
Wazawa wanatupenda sana wabongo huku tunaitwa bongomani au wajomba wanatupenda mno
USHAJIULIZA KWANINI TUNAPENDWA?
Tunapendwa kwakuwa wabongo huku wengi hatuajiliwi hivyo hatuchukui ajira zao ndiyomaana hutokuja kusikia vurigu dhid ya wabongo
Pia kuna hili jambo endapo unandugu anaishi huku alafu kaoa mwanamke wa huku nakuomba muombee sanaaa mungu amsimamie
Maana afrika kusini ni nchi ambayo mwanamke anasikilizwa kuliko mwanaume endapo utampiga mwanamke au mwanao wa kumzaa au utamcheka shoga unakabiliwa na kifungo kisichopungua miaka 3 jela
Huku mtoto hapigwi nyumbani hata shuleni, huku mwanamke hapigwi huku shoga anachukuliwa kma kilema
Huku 50% ya wanawake wanavuta bangi 70% wanavuta sigara mtoto wa kike miaka 10 anavuta sigara baba hutakiwi kumpiga
Huku mwanamke anampiga mwanaume mwanaume ukirudishia unaenda jela
Huku kuoa hasa hii miji ya warangirangi kuoa hutoi hata barua unajitambulisha unachukua mke
Huku mwanamke ndiyo kiongozi wa familia
Huku mtoto mmoja ukizaa analipwa rand 500 kilamwez ukizaa zaidj pesa zaidi ukipata virusi vya ukimwi unalipwa kila mwezi
MWISHO WA YOTE
huku kazi zipj nyiiiingi ila hupati kazi bila kuwa na kitambulisho cha uraia kwakifupi kazi zipo ila sio kwa wageni labda ujiajiri
Wazulu wanakabwa km kawaida tu, wao ni visu au bunduki, lkn km hana/hawana silaha niwaoga zaidi ya kunguru.....ila kuna maskokoo vichwa vibovuuMbongo jeuri ya kumkaba Mzulu aipate wapi?
Unaokaa nao vijiweni wamekuingiza chaka.
Mzulu gani atatembea bila ya kuwa na kisu cha Okapi?Wazulu wanakabwa km kawaida tu, wao ni visu au bunduki, lkn km hana/hawana silaha niwaoga zaidi ya kunguru.....ila kuna maskokoo vichwa vibovuu
Akili ndogo zinakusumbuwa, Wamexico wapo karibu na Marekani ndio kiwanja chao cha kufika kwa urahisi bila gharama kubwa.Wabongo SA ndio ulaya yao 😂😂😂
Awe tayari kuishi songea 😂😂😂😂Huyu jamaa anaishi songea alafu analeta thread za sauzi africa eti kaishi sauzi Toka 2003 dah[emoji38][emoji38] ukiwa muongo uwe na memory kijana View attachment 2677999
Hatari sana!!Awe tayari kuishi songea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona niwawekee na video muaminiMwandiko tu unaonyesha huyu Mjinga hata South hajawahi kufika
Kwanini wasikabwe? Wanakabwa kma kawaidaMbongo jeuri ya kumkaba Mzulu aipate wapi?
Unaokaa nao vijiweni wamekuingiza chaka.
Nimeona nikuwekee na video ili uaminiKijana muongo alafu hana memory kabsa
Walikuwa wanatutishia tuuMleta mada Mlipewa hadi June 1 muwe mmehama huko. Ulifanikiwaje Kubaki huko?
Kukaba si timing? Mbona wanakabwa kilasiku? Anakabwa mtu mwenye bunduki sembuse kisu?Mzulu gani atatembea bila ya kuwa na kisu cha Okapi?
Hivi hizi story huwa anawadanganya nani?
Umefanya ukacheroHuyu jamaa anaishi songea alafu analeta thread za sauzi africa eti kaishi sauzi Toka 2003 dah[emoji38][emoji38] ukiwa muongo uwe na memory kijana View attachment 2677999