steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,092
- 1,433
Leo nataka niwape elimu kidogo kuhusu afrika kusini na maisha yake
Kwa kipindi kirefu mmekuwa mkisikia kuhusu mauaji hususani ya watanzania na mkawa hamuelewi mkawa mnatuhumu kuwa wazawa wanaua wageni hawawataki ipo hivi
Wabongo wengi wa kati ya umri wa miaka 19 mpk 37 wengi huku hawana ajira wengi wanakaba hiyo ipo wazi sasa wakienda kukaba ikatokea wakauawa kwa risasi au visu ndiyo mnapata taarifa kuwa wameuawa mnawatuhumu wazawa ukweli ni kwamba wameuawa wakiwa wanaiba 75% ya vifo chanzo ni hicho msidanganywe huwa tunawafichia tu siri
Wazawa wanatupenda sana wabongo huku tunaitwa bongomani au wajomba wanatupenda mno
USHAJIULIZA KWANINI TUNAPENDWA?
Tunapendwa kwakuwa wabongo huku wengi hatuajiliwi hivyo hatuchukui ajira zao ndiyomaana hutokuja kusikia vurigu dhid ya wabongo
Pia kuna hili jambo endapo unandugu anaishi huku alafu kaoa mwanamke wa huku nakuomba muombee sanaaa mungu amsimamie
Maana afrika kusini ni nchi ambayo mwanamke anasikilizwa kuliko mwanaume endapo utampiga mwanamke au mwanao wa kumzaa au utamcheka shoga unakabiliwa na kifungo kisichopungua miaka 3 jela
Huku mtoto hapigwi nyumbani hata shuleni, huku mwanamke hapigwi huku shoga anachukuliwa kma kilema
Huku 50% ya wanawake wanavuta bangi 70% wanavuta sigara mtoto wa kike miaka 10 anavuta sigara baba hutakiwi kumpiga
Huku mwanamke anampiga mwanaume mwanaume ukirudishia unaenda jela
Huku kuoa hasa hii miji ya warangirangi kuoa hutoi hata barua unajitambulisha unachukua mke
Huku mwanamke ndiyo kiongozi wa familia
Huku mtoto mmoja ukizaa analipwa rand 500 kilamwez ukizaa zaidj pesa zaidi ukipata virusi vya ukimwi unalipwa kila mwezi
MWISHO WA YOTE
huku kazi zipj nyiiiingi ila hupati kazi bila kuwa na kitambulisho cha uraia kwakifupi kazi zipo ila sio kwa wageni labda ujiajiri