Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,371
Mimi siýo yeye sikumbuki shighuli yake, nilichokumbuka nimekujibu.
Mimi siýo yeye sikumbuki shighuli yake, nilichokumbuka nimekujibu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kakimbia uzi wake.... mazima
Kesha jibu acha kuparamia mada kwa kusoma vichwa vya habari tuu.
Hata mimi nashangaa mtu anayempiga mwanamke. Mwanamke anapigwa kwa gegedo tu. Sio vinginevyoLeo nataka niwape elimu kidogo kuhusu afrika kusini na maisha yake
Kwa kipindi kirefu mmekuwa mkisikia kuhusu mauaji hususani ya watanzania na mkawa hamuelewi mkawa mnatuhumu kuwa wazawa wanaua wageni hawawataki ipo hivi
Wabongo wengi wa kati ya umri wa miaka 19 mpk 37 wengi huku hawana ajira wengi wanakaba hiyo ipo wazi sasa wakienda kukaba ikatokea wakauawa kwa risasi au visu ndiyo mnapata taarifa kuwa wameuawa mnawatuhumu wazawa ukweli ni kwamba wameuawa wakiwa wanaiba 75% ya vifo chanzo ni hicho msidanganywe huwa tunawafichia tu siri
Wazawa wanatupenda sana wabongo huku tunaitwa bongomani au wajomba wanatupenda mno
USHAJIULIZA KWANINI TUNAPENDWA?
Tunapendwa kwakuwa wabongo huku wengi hatuajiliwi hivyo hatuchukui ajira zao ndiyomaana hutokuja kusikia vurigu dhid ya wabongo
Pia kuna hili jambo endapo unandugu anaishi huku alafu kaoa mwanamke wa huku nakuomba muombee sanaaa mungu amsimamie
Maana afrika kusini ni nchi ambayo mwanamke anasikilizwa kuliko mwanaume endapo utampiga mwanamke au mwanao wa kumzaa au utamcheka shoga unakabiliwa na kifungo kisichopungua miaka 3 jela
Huku mtoto hapigwi nyumbani hata shuleni, huku mwanamke hapigwi huku shoga anachukuliwa kma kilema
Huku 50% ya wanawake wanavuta bangi 70% wanavuta sigara mtoto wa kike miaka 10 anavuta sigara baba hutakiwi kumpiga
Huku mwanamke anampiga mwanaume mwanaume ukirudishia unaenda jela
Huku kuoa hasa hii miji ya warangirangi kuoa hutoi hata barua unajitambulisha unachukua mke
Huku mwanamke ndiyo kiongozi wa familia
Huku mtoto mmoja ukizaa analipwa rand 500 kilamwez ukizaa zaidj pesa zaidi ukipata virusi vya ukimwi unalipwa kila mwezi
MWISHO WA YOTE
huku kazi zipj nyiiiingi ila hupati kazi bila kuwa na kitambulisho cha uraia kwakifupi kazi zipo ila sio kwa wageni labda ujiajiri
Umewahi kufika hata Zimbabwe kweli?Mbongo jeuri ya kumkaba Mzulu aipate wapi?
Unaokaa nao vijiweni wamekuingiza chaka.
Ikawaje wewe sasa ndio umerudi shimoni , kwa aibu....ziiiiiiiiiHuyu jamaa anaishi songea alafu analeta thread za sauzi africa eti kaishi sauzi Toka 2003 dah[emoji38][emoji38] ukiwa muongo uwe na memory kijana View attachment 2677999
Sababu kubwa ya wanawake kunuka puss ni kutotumia maji kutawaza sehemu za siri pindi waendapo haja au baada ya kufanya mapezi. ,Unakuta mwanamke mzuri lakini mmmm kashomboo.....,. Raha ya mwanamke uonekane vizuri na awe anatoa harufu fresh.Dah ila wanawake wakisanzi wananuka puss asilimia kubwa japo ni wazuri mno sijui why?
Point. Wanatumia Sana toilet paper kuliko majiSababu kubwa ya wanawake kunuka puss ni kutotumia maji kutawaza sehemu za siri pindi waendapo haja au baada ya kufanya mapezi. ,Unakuta mwanamke mzuri lakini mmmm kashomboo.....,. Raha ya mwanamke uonekane vizuri na awe anatoa harufu fresh.
ChaiLeo nataka niwape elimu kidogo kuhusu afrika kusini na maisha yake
Kwa kipindi kirefu mmekuwa mkisikia kuhusu mauaji hususani ya watanzania na mkawa hamuelewi mkawa mnatuhumu kuwa wazawa wanaua wageni hawawataki ipo hivi
Wabongo wengi wa kati ya umri wa miaka 19 mpk 37 wengi huku hawana ajira wengi wanakaba hiyo ipo wazi sasa wakienda kukaba ikatokea wakauawa kwa risasi au visu ndiyo mnapata taarifa kuwa wameuawa mnawatuhumu wazawa ukweli ni kwamba wameuawa wakiwa wanaiba 75% ya vifo chanzo ni hicho msidanganywe huwa tunawafichia tu siri
Wazawa wanatupenda sana wabongo huku tunaitwa bongomani au wajomba wanatupenda mno
USHAJIULIZA KWANINI TUNAPENDWA?
Tunapendwa kwakuwa wabongo huku wengi hatuajiliwi hivyo hatuchukui ajira zao ndiyomaana hutokuja kusikia vurigu dhid ya wabongo
Pia kuna hili jambo endapo unandugu anaishi huku alafu kaoa mwanamke wa huku nakuomba muombee sanaaa mungu amsimamie
Maana afrika kusini ni nchi ambayo mwanamke anasikilizwa kuliko mwanaume endapo utampiga mwanamke au mwanao wa kumzaa au utamcheka shoga unakabiliwa na kifungo kisichopungua miaka 3 jela
Huku mtoto hapigwi nyumbani hata shuleni, huku mwanamke hapigwi huku shoga anachukuliwa kma kilema
Huku 50% ya wanawake wanavuta bangi 70% wanavuta sigara mtoto wa kike miaka 10 anavuta sigara baba hutakiwi kumpiga
Huku mwanamke anampiga mwanaume mwanaume ukirudishia unaenda jela
Huku kuoa hasa hii miji ya warangirangi kuoa hutoi hata barua unajitambulisha unachukua mke
Huku mwanamke ndiyo kiongozi wa familia
Huku mtoto mmoja ukizaa analipwa rand 500 kilamwez ukizaa zaidj pesa zaidi ukipata virusi vya ukimwi unalipwa kila mwezi
MWISHO WA YOTE
huku kazi zipj nyiiiingi ila hupati kazi bila kuwa na kitambulisho cha uraia kwakifupi kazi zipo ila sio kwa wageni labda ujiajiri
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyu jamaa anaishi songea alafu analeta thread za sauzi africa eti kaishi sauzi Toka 2003 dah[emoji38][emoji38] ukiwa muongo uwe na memory kijana View attachment 2677999
vipi ukimla mwanafunzi na uko unafungwa?Race yakuo South Africa ni coloured, hawa madem ni weupe alafu wazuri na akikupenda ni amekupenda, jichanganye uwoe mzawa, huyo ni Gold digger
Wabongo wengi humu asilimia 80 ni wauza madawa na hawana au hawako katika ajira rasmi, kesi nyingi za mauwaji ya wabongo huku ni madawa na ujambazi, wabongo hakuna wanachokijua humu, asilimia chache ndio unakuta wako katika sekta rasmi ( muajiriwa )
Huku nduguzanguni ukipata kazi umetoboa, unaweza ukalipa mshahara wa profesa wa UDS kwa mwezi katika kazi zihusuyo skills na ukipata kazi za paperwork ndio mkurugenzi mshahara wake unalipwa
Wabongo wanaotaka kutafuta maisha nawashauri waje huku, maana kutoboa ni rahisi ukipata kazi inayoeleweka,
Suala la vurugu ni inategemea mitaa unayokaa na kazi unayofanya. Zaidi ya hapo kufa ni bahati mbaya mtu alikuwa anapigwa risasi akapiga vibaya, hiyo hapo kichwani kwako umekufa.
Kibaka wa huku ni jambazi sugu kwa bongo. Kibaka wa simu huku yuko na bastola iyo hapo toa sim mchezo uwishe zaidi ya hapo hawana mbili kwenye moja ni parapamba inalia saaa hiyohiyo umekufa simu imeenda
Maonyesho.
Huku bastola au bunduki utaziona sanaa kama uko maonyesho ya 77. Security wa huku yuko na bastola saa zote, ukijichanganya ubongo huna(chakula cha mwewe hicho)
Chakula.
Nyama utayokula hapa mwaka 1 ni nyama yako ya mika 5 uliyokula bongo, kwa wale wanaokaa uswazi ambayo nyama ni luxury
Starehe.
Kama muonavyo insta huko wakina dada mashaaallah wamejaaliwa. Ukikutana na katoto cha sekondar mate lazima yadondoke kama mbwa, maana sukari uliyoiona hata nyuki hawajawahi kuila...
Kilimo.
Ukisikia mkulima hapa sio sawa na wewe mkulima wa nyanya robo heka unajiita mkulima, hector's kwa kimombo maekari na maekari hawa makaburu wanamiliki. Mkulima wa hapa anaogopeka kuliko hata askari maana ana mawee sio jiwe, pesa niya generation to generation aliyenayo
Aende nabii Tito na mabango yake yaleeeNa wewe umeridhia tu wala hupingi na kuandamana. Basi itakuwa na Wewe rinda lina mushkel.
Hamna unapewa na posho kabisa sawia na posho ya mbunge kwa tz, mara12 hiyo siku.vipi ukimla mwanafunzi na uko unafungwa?
Humu mapenzi kitu cha kawaida, vitoto vya sekondari vinaenda na simu shuleni, wewe tu mkuuuuvipi ukimla mwanafunzi na uko unafungwa?
itabidi nihamie sauzHumu mapenzi kitu cha kawaida, vitoto vya sekondari vinaenda na simu shuleni, wewe tu mkuuuu
Huku kama unapenda totoz ndio kwenyewe wewe ingia insta ndio itakuwa ushahidi wakoitabidi nihamie sauz