Uhalisi wa ndoa.....

Partner leo umetupania nini wanandoa uko quiet mpaka nahisi umepanga bomu...

Hahahaha partner leo sitaki kua msemaji....wakati mwingine kusikiliza bila kutia neno muhimu!!Embu nenda kwanza kule kwa Kloro ukafanye mazoezi ya ushairi!!
 
Kuna jamaa anampigisha misele ndio maana unaona anauliza maswali mengi kuhusiana na ndoa lol!!!:dance::dance:

Hivi umewahi kumuona dada mdogo akimchapa kaka mkubwa???!Mbona waniharibia soko bwashe?!
 
Hivi umewahi kumuona dada mdogo akimchapa kaka mkubwa???!Mbona waniharibia soko bwashe?!
Meku sio hivyo aisee meku endelea kumpigisha round about yule mshikaji wa mtaani kwetu, yule nia yake:mimba::mimba:halafu aingie mitini
 
Hahahaha partner leo sitaki kua msemaji....wakati mwingine kusikiliza bila kutia neno muhimu!!Embu nenda kwanza kule kwa Kloro ukafanye mazoezi ya ushairi!!


Sawa M/p ila napitia kwanza kwa dada NOT ENOUGH, interesting Qn kule kwa wadada tu...
 
Shukran sana dada Lizzy nimejifunza mengi sana kupitia post zako nina imani zitanisaidia kumpata mme bora na siwezi changia lolote kwan sijafikia stage hiyo
 
Meku sio hivyo aisee meku endelea kumpigisha round about yule mshikaji wa mtaani kwetu, yule nia yake:mimba::mimba:halafu aingie mitini

Hhahhaha acha bana..,.karibu kidole changu kidogo kitarembwa kwa almasi au tanzanite kabisa ili niwakilishe masafa ya mbali!!!
 
  1. ...Je wewe ulitaka/kubali kuoa/olewa kwasababu gani??... Just to have maximum romances internally and at the same time give a hand and support each other in counting years ahead of us (
  2. ...Baada ya kuingia mambo yalikua kama ulivyotarajia!?.. it was real gud, though it needs a buster now and then
  3. ...Kama mambo yalikua tofauti na matarajio yako je ni kwa uzuri au kwa ubaya??? Kwa uzuri na ubaya vyote vyote (ila uzuri umezidi mabaya)
  4. ...Umewahi kujuatua au kushukuru Mungu kumchagua uliyemchagua??? namshukuru mungu kwa kunipa huyu "mtoto mzuri" toka nyanda hizo ila nazidi kumuomba Mungu ampe mambo mengine anayomiss na mimi anipe mambo ninayomiss ambayo yeye anayatamani niwe nayo
  5. ...Ungepata nafasi ya kurudi miaka kadhaa nyuma mpaka ulipokua unaamua kufungwa pingu za maisha ukiwa inajua kila kitakachotokea mbeleni ungefanya uamuzi tofauti na uliofanya??? ningefanya uamuzi huo huo kwa sababu hakika huwezi kumpata Mtu hata mmoja ambaye ana utimilifu 100% kinachotakiwa ni kujua jinsi ya kuishi na mke/mume wako (within those differences or expectation gaps)!! .. mtu asijidanganye huwezi pata 100% perfect!!

Please tupeni experince tujifunze kabla hatujaingia huko na matarajio kibao alafu tushindwe kuvumilia hali halisi!
 
Shukran sana dada Lizzy nimejifunza mengi sana kupitia post zako nina imani zitanisaidia kumpata mme bora na siwezi changia lolote kwan sijafikia stage hiyo

Nafurahi kusikia hivyo mpendwa....usisahau mwaliko eeeeh!!
 
Kila ndoa ina tofautiana. Haimanaanisha kama ya fulani ina furaha na yako ikawa na furaha, na haimaanishi kama ya mtu fulani ina matatizo na yako ikawa na matatizo


Siku hizi watu wanaogopa sana ndoa kutokana na story za watu lakini muhimu ni wewe binafsi je unataka kuolewa kwa nini?

Ukishajiuliza hayo maswali na kama majibu yake yote unaweza kuyatimiza nje ya ndoa basi kaa hapo hapo ulipo kama unaona kuna furaha na kama kweli unaogopa sana mitihani ya ndoa.

Kama unataka kingia kwenye ndoa tafuta mtu ambaye naye yuko tayari kuingia kwenye ndoa na mjuane vizuri kwani tabia za huko ndio mtakazo ziamishia kwenye ndoa.na hakikisha swala la kuwa na watoto wote muwe tayai na mjadili mitihani inayokuja baada kupa mtoto.


Jinsi ulivyo uliza maswali majibu yote ni tofauti kwani watu tunatofautiana, vizuri kujaribu kama una mtu umeridhika nae na unaona na yeye yuko tayari. Au kama unaona moyo wako una wasi wasi sana basi achana na ndoa ,lakini kwa kifupi kuwa na ndoa yenye furah utahitaji ushirikiano wa pamoja kutoka kwa partner wako na sio juhudi zako binafsi.


Kila la kheri na Mungu akujalie ufanya maamuzi sahihi.
 
Ahsanteni nyote mliochangia hii thread, nimeyasoma maoni yote kwa umakini mkubwa. Tafadhali endeleeni kutujuza hizo experience zenu esp. ninyi wanandoa. Sijaoa. Lakini natarajia soon! List ya candidates ilikuwa ndeeefu nikafanya shorlisting na kwa sasa wamebakia candidates wawili tu, so hapa ndo kichwa kinaniuma.
Nafaidika mnoo kwa haya ninayoyasoma hapa na kwa kiasi kukubwa yatasaidia ku-influence decision yangu ktk kumchagua final candidate.
Lizzy thanks a lot for bringing this mind-bending topic!
Wanandoa na wanandoana jitokezeni na mtujuze sisi makapera msijifiche na muwe honest, manake nimeskia eti kuna ndoa na ndoana siku hizi
 
i have never regretted, changes were positive and given a chance to go back, i would do it all over again in the same manner

bila ndoa na uppuzi wangu ningekua jela au kaburini:biggrin1:

...inatia moyo sana to hear that! Big up kwa shemeji!!
 
Wifi naona mambo yanazidi kukolea.Karibu sana kwenye familia,hopefully hutajutia kuwa wifi yangu.Familia yetu ni njema na yenye hofu ya Mungu,tutakulinda,kukutunza na kukutumikia till a tempting partner comes along. Na kaka nshamuambia,pete kama ya Kate,ila isiwe diamond upate the unique tanzanite.Ila ni surprise,usimuambie nimekutonya,lol
Partenerrrrr....nataka kumchunguza kuku kabla sijamla!!Kwa kukusoma naona ukimpata wako ambae nae wewe ndo wake inakua raha mustarehe hata kama vijitatizo vya hapa na pale havikosekani!!

I‘m happy for you partner...nakuombea miaka kumi ijayo uwe na mawazo kama haya haya kuhusu shem wangu au hata mazuri zaidi!!
 
Afadhali ww ukirekebishwa unajua kuwa upuuzi unaweza kukuua. Mtafika mbali sana,Mungu awajaalie,wanaume wachache sana wako chanya na mabadiliko yanayokuwa inflicted na partners wao
i have never regretted, changes were positive and given a chance to go back, i would do it all over again in the same manner

bila ndoa na uppuzi wangu ningekua jela au kaburini:biggrin1:
 
Back
Top Bottom