Uhalisi wa ndoa.....

Asanteni wote kwa maeksipiriensi....nadhani kila mmoja amefanikiwa kujifunza hiki au kile kwa mwenzake!!

Kama wahenga walivyosema hukoooo zamani ''KUULIZA SIO UJINGA'' na ndicho nilichofanya...kwahiyo naomba niwaondoe hofu wale wanaodhani nauliza kwa nia ya kucritisize ndoa....binafsi napenda kujua sababu ya mengi tunayopenda/jikuta tukifanya kama wanadamu!!Mwisho wa siku naishia kujifunza kitu nilichokua sijui au kukumbushwa nilichokua nimesahau.Nafagilia ndoa....naikubali japo kwangu sio kitu ambacho nakitamani au kukililia!!

Hongereni wote ambao mnafurahia ndoa zenu..nawaombea muendelee hivyo hivyo miaka ijayo mtualike kusherehekea GOLDEN ANNIVERSARY zenu!!

Kwa wale mnaojutia poleni kwa kufikiria/gundua mlikosea hatua hii au ile....kama yanarekebishika jaribu kadri ya uwezo wako ili hata siku yakishindikana kabisa uweze kusema ''ANGALAU NILIJARIBU!!
me love you all!!!:grouphug::A S-rose: Be blessed and stay blessed!

Apo pekundu!mhhhhhhhhhhh
 
Back
Top Bottom