Credit
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 1,348
- 1,655
Ndoa ni hali ya mwanaume na mwanamke kuishi pamoja kama mme na mke na kutengeneza taasisi ndogo ambayo ni familia. Malezi ya familia ndiyo chanzo cha taasisi zingine na jamii au taifa kiujumla. Malezi bora ya familia huzaa jamii au taifa bora la watu wenye upendo, uwajibikaji na uzalendo kwa taifa na kinyume chake pia. Hivyo, jamii bora ni zao la familia bora inayotokana na ndoa bora.
Je, jamii ya sasa ni bora? Watu wana upendo? Watu ni wawajibikaji? Watu ni wazalendo kwa taifa lao?
Hapo awali, msingi wa ndoa ulisimikwa katika uvumilivu na usiri mkubwa sana. Yaani, wanandoa wavumiliane mapungufu yao makubwa sometimes yenye kuumiza sana na watunze siri ya mapungufu na maumivu hayo. Kwa maana nyingine, wanandoa waumie sana katika ndoa yao kwa faida ya wengine; watoto wao waishi vizuri na jamii yao inayowazunguka ifurahie ndoa yao.
Msingi wa ndoa ulisimikwa kwa mgawanyo wa majukumu kati ya mume na mke na kila mmoja awajibike katia majukumu yake. Mwanamke, ambaye ni mama katika familia alitoa malezi bora sana kwa watoto kwa kuwa nao karibu sana katika kuwajenga vizuri kimwii, kiroho na kiakili katika makuzi yao huku akitambua kuwa kuna mwanaume ambaye ni baba katika familia anayewajibika kwa mahitaji makuu ya familia; KUONGOZA.
Uongozi wa mwanaume katika familia kwa sasa upo? Utambuzi wa mwanamke kuwa mwanaume ni kiongozi katika familia umeenda wapi?
Uanaharakati "activism" umeua misingi na umuhimu wa taasisi ya ndoa bora. Harakati za kijinsia za kutaka usawa kati ya mume na mke zimeua misingi ya ndoa. Harakati zilianza vizuri sana "mtoto wa kike apewe fursa ya kupata elimu, alindwe kiafya na kihisia". Tulifanikiwa katika hili kwa asilimia kubwa lengo ni kuweka usawa wa kijinsia katika kupata haki ya kuishi.
Uanaharakati uliemda mbaaali sana na kufikia kwenye 50/50; usawa wa kijinsia, yaani hakuna utofauti kati ya mwanamke na mwanamme. Mwanamke akaaminishwa hivyo, akaamini sasa mwanaume kwake si lolote, si chochote kama tu na yeye anaweza kuhudumia familia hivyo watoto wanakosa malezi na uongozi katika familia. Kiburi, tamaa ya mali na uchu wa kujitawala unamjaa mwanamke na kuona hahitaji tena kuongozwa kwa jina la ndoa na familia. Anaona azae tu watoto na awalee yeye, awaongoze yeye; na yeye awe kiongozi, yaani SINGLE MAMA.
Uanaharakati wa kijinsia umefanya mabadiliko makubwa sana katika taasisi ya ndoa na familia ambayo sasa hatuyafurahii, tunayapigia kelele kwamba yamezidi.
Ndoa imekosa maana, wanaume tumemua tusioe ila tuendelee kuwatumia tu sasa kwa sterehe. Yes, nahitaji sex, namfata, namtongoza, napata; SITAKI NDOA kwa sababu najua anachowaza mwanamke baada ya hiyo ndoa. Nikihitaji mtoto, namfuata tena namzalisha, akihitaji nilee mtoto sawa nalea, akikataa namwacha alee; SITAI KUOA.
Mwanamke amekuwa sasa mhanga wa hizi harakati za ijinsia na ndio maana wanaochukizwa sana na uamuzi wa sisi wanaume kukataa ndoa ni wanawake. HATUOI! Hakuna mwanaume anayekubali 50/50 katika usawa wa kijinsia. Wapo wanawake wanaotaka waolewe wakiwa na imani ya 50/50, waachwa na kuwa single mama. Wapo wanawake hawataki hata kuolewa ila wanataka kuzaa tu walee wao mwisho watoto wanakosa malezi bora.
Malezi ya single mama ni hatari sana kwa makuzi ya watoto. Haiingii akilini leo mwanaume atoe mahari kwa mwanamke ambaye anajua kabisa baadae atakuja kumdhuru kiafaya, kiuchumi na kiroho. Hakuna tena sababu ya kuishi pamoja na mwanamke kwa jina la ndoa labda sex tu; one night stand. Yes, namuhihitaji sana mwanamke kwa sex.
USHAURI: Mwanauume kataa ndoa kwa afya yako. Unataka sex, find a woman for a while. Unataka mtoto, faind a temporary woman for that.
USIOE.