Uhakiki wa watumishi hewa utamalizika lini?

Uhakiki wa watumishi hewa utamalizika lini?

Chuochasauti kaziinaendelea wanafunzi wamekimbiaa ooh
 
Rais kwa umakini wake hawezi kuruhusu ajira ifanyike na watu wale wale waliosababisha kuwepo kwa watumishi hewa.Marehemu baba waTaifa Mwalimu Nyerere alisema mtu akila nyama ya mtu hawezi kuacha atarudia tena.Nafikiri ajira itaanza tena baada ya Mh Rais kusafisha maafisa utumishi wote waliofanya malipo hewa .
Mkiwa na kiongozi mwenye desturi ya uongo uongo ni hatar sana kwa usalama wa taifa,
 
Back
Top Bottom