Tanzania Njema Yaja
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 3,042
- 2,414
Bado mpaka ...... wahakikiwa wawe wamehakikiwa na wahakiki kuhakikiwa......
Jamani huu uhakiki unamalizika lini ili hawa vijana waliomaliza mafunzo katika fani mbalimbali waweze kuajiriwa? Mwenye kujua atuambie.
Jaribu kuangalia hii clip... hiyo ilikuwa JUNE 22.2016
Mkuu, asante hayo aliongea 22.06.2016 lakini lile tangazo kutoka utumishi lilitolewa 13.06.2016, sasa hapa muda wa mwez mmoja, mmoja na nusu unaanza kuhesabika aliposema rais ama tangazo toka utumishi lilivoandikwa?
Huku Kwetu hata hawajaanza, sijui kama hili zoezi litaisha SeptemberLeo mida hii ndio nimetoka kuhakikiwa
wanahakiki watumishi hewa na vyeti feki mpaka tarehe 3/8 mkoa wa tanga
Maaweeee! Ni mkoa kwa mkoa? Mi nilifikiri noma limeshapita!Leo mida hii ndio nimetoka kuhakikiwa
wanahakiki watumishi hewa na vyeti feki mpaka tarehe 3/8 mkoa wa tanga
Alikisia tuu Tanzania yetu ukiambiwa mwez mmoja na nusu ni miwili chamsingi nikusubiri tuu wala usihesabu tena iyo miez mi mwenyewe nasubir uhamisho tamisemiNdugu zangu, kama mnavojua 13.06.2016 Tume ya utumishi wa UMMA ilitoa waraka wa siri kuhusu usitishwaji wa ajira mpya kada zote kwa mwaka 2016 ili kupisha zoezi la uhakiki wa watumishi hewa, baadae 22.06.2016, rais mh Dkt John Pombe Magufuli akasema wamesitisha ajira kwa muda ili kupisha zoezi la uhakiki kwa watumishi hewa na akasema itachukua mwezi mmoja ama mwezi mmoja na nusu lakini haitafika miezi miwili.
Swali langu ni:
1(a) Je, huo mwezi mmoja ama mwez mmoja na nusu ulianza kuhesabika lini na utakamilika lini?
(b) Je, aliposema haitazidi miezi miwili alimaanisha haitafika miezi miwili ama inaweza kufika miwili lakini isizidi hapo yaani kufika mitatu?
MWENYE KUELEWA NAOMBA ANISAIDIE.....
GIPAMA from Bunda-Mara.