Uhakiki wa watumishi hewa utamalizika lini?

Jamani tujifunze kuwa tunajibu tulichoulizwa tu, na kama mada itahitaji majadiliano ndo mtu unaweza kujadili kwa kusema yote hata ambayo hayaulizwa.
 
Jamani naomba tumpe Rais nafasi apange safu yake na aweke taratibu nzuri za kuiongoza nchi. Nadhani hata ungelikuwa wewe ukipewa madaraka hata madogo ya ualimu wa mazingira, yapo utakayofanyia marekebisho japo awali alikuwepo mwalimu mwingine aliyekukabidhi nafasi hiyo. Vuteni subira uongozi ni kazi ngumu.
Nani aliyekuambia madaraka ya ualimu wa mazingira ni madogo?
 
Aisee mada Ni nzuri ila Majibu hakuna humu coz hakuna ajuae ila tunahisi tu,ngoja na mimi Ni tabiri,ajira hapo mwezi wa 12
 
Uhakiki umeisha now kuna zoezi lngine close checking,nalo linaenda hadi 15/7 so hapo mkuu wa kambi akiamua kutoa agizo lingine its ok,but sdhan ka wote wataenda c unajua matumzi yanabanwa kaka
Asante, ww ndie unaejua kujibu maswali kulingana na swali lilivoulizwa.
 
Uhakiki umeisha now kuna zoezi lngine close checking,nalo linaenda hadi 15/7 so hapo mkuu wa kambi akiamua kutoa agizo lingine its ok,but sdhan ka wote wataenda c unajua matumzi yanabanwa kaka
Wewe taarifa nyeti kama hz unazipata wapi, chanzo chako cha taarifa ni kipi?
 
Wewe taarifa nyeti kama hz unazipata wapi, chanzo chako cha taarifa ni kipi?
Agwazi Jamii Forum kuna watu wa serikalini so taarifa kama hizi sio tatizo kuzijua, vumilia tu huko Nyamuswa muda si mrefu mambo yatakuwa poa
 
Jamaniiii..... Hz ajira zitaannza kutekelezwa lini kulingana na tamko la mnikulu?
 
Kila sku wanabadilisha,taarifa za jkon zasema wanane kuripoti 9,me nsona serikali haina shida na walimu,tujiongeze kivingine
 
Jamani huu uhakiki unamalizika lini ili hawa vijana waliomaliza mafunzo katika fani mbalimbali waweze kuajiriwa? Mwenye kujua atuambie.
 
Back
Top Bottom