Uhai wako si Mali ya jumuia ni mali Yako binafsi. Ukifa kwa kujitakia utasahaulika na maisha yataendelea, acha kushiriki matendo maovu utakufa

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,652
Reaction score
2,696
Binadamu mwenye akili hulinda nafsi yake dhidi ya kifo, huepuka vitu hatarishi vinavyoweza kumsababishia kifo.

Acha kujihusisha na makundi hatarishi kama vile wapanga vurugu, wanaotaka kufanya maandamano yasiyo rasimi, kujihusisha na wizi wa Mali za watu, acha kushiriki kwenye upotoshaji wa aina yyte Ile kwasababu ukifa utasahaulika siku hyohyo na maisha yataendelea.

Ni upumbavu kutokulinda nafsi yako dhidi ya kifo cha kujitakia.
 
Binadamu mwenye akili hulinda nafsi yake dhidi ya kifo, huepuka vitu hatarishi vinavyoweza kumsababishia kifo. Acha kujihusisha na makundi hatarishi kama vile wapanga vurugu, wanaotaka kufanya maandamano yasiyo rasimi, kujihusisha na wizi wa Mali za watu, acha kushiriki kwenye upotoshaji wa aina yyte Ile kwasababu ukifa utasahaulika siku hyohyo na maisha yataendelea.

Na mali za inchi na rasilimari zetu ni za Abdul na mama samia
 
Binadamu mwenye akili hulinda nafsi yake dhidi ya kifo, huepuka vitu hatarishi vinavyoweza kumsababishia kifo. Acha kujihusisha na makundi hatarishi kama vile wapanga vurugu, wanaotaka kufanya maandamano yasiyo rasimi, kujihusisha na wizi wa Mali za watu, acha kushiriki kwenye upotoshaji wa aina yyte Ile kwasababu ukifa utasahaulika siku hyohyo na maisha yataendelea.
Ni upumbavu kutokulinda nafsi yako dhidi ya kifo cha kujitakia.
Ni kwa nini kifo kimekua ndo njia pekee ya kudeal na wanaokosoa serikali?
 
Eti uhai una thamani walisisika wakusanya sadaka ambao wanataka kwa sadaka za watu ,ujinga mtupu...Dunia ya leo ukija kwa ujinga wako utakuwa kama jibwa tu la mtaani ; hauna thamani tena.

Hao TEC kinachowapa kiburi ni mali na sio huyo Mungu ...Wanadanganywa sana ukafanye fujo halafu udai miili ,watakufa sana kwa kuendekeza ujinga.
 
Binadamu mwenye akili hulinda nafsi yake dhidi ya kifo, huepuka vitu hatarishi vinavyoweza kumsababishia kifo.

Acha kujihusisha na makundi hatarishi kama vile wapanga vurugu, wanaotaka kufanya maandamano yasiyo rasimi, kujihusisha na wizi wa Mali za watu, acha kushiriki kwenye upotoshaji wa aina yyte Ile kwasababu ukifa utasahaulika siku hyohyo na maisha yataendelea.

Ni upumbavu kutokulinda nafsi yako dhidi ya kifo cha kujitakia.
Hakuna mzalendo anaye kufa kizalendo na kusahaulika na umma wake jidanganye
 
Wauaji ni akina nani?!
Sheria ya wapi inatoa hukumu ya kifo kwa wafanyao maandamano unayoita yasiyo rasmi?!
 
Binadamu mwenye akili hulinda nafsi yake dhidi ya kifo, huepuka vitu hatarishi vinavyoweza kumsababishia kifo.

Acha kujihusisha na makundi hatarishi kama vile wapanga vurugu, wanaotaka kufanya maandamano yasiyo rasimi, kujihusisha na wizi wa Mali za watu, acha kushiriki kwenye upotoshaji wa aina yyte Ile kwasababu ukifa utasahaulika siku hyohyo na maisha yataendelea.

Ni upumbavu kutokulinda nafsi yako dhidi ya kifo cha kujitakia.
Huu ushauri ungeanza kuwapa kwanza wanajeshi.
 
Binadamu mwenye akili hulinda nafsi yake dhidi ya kifo, huepuka vitu hatarishi vinavyoweza kumsababishia kifo.

Acha kujihusisha na makundi hatarishi kama vile wapanga vurugu, wanaotaka kufanya maandamano yasiyo rasimi, kujihusisha na wizi wa Mali za watu, acha kushiriki kwenye upotoshaji wa aina yyte Ile kwasababu ukifa utasahaulika siku hyohyo na maisha yataendelea.

Ni upumbavu kutokulinda nafsi yako dhidi ya kifo cha kujitakia.
Screenshot_20251212-173144~2.png
 
Huu utapeli hivi ni wa enzi ya karne ya ngapi?
 
Binadamu mwenye akili hulinda nafsi yake dhidi ya kifo, huepuka vitu hatarishi vinavyoweza kumsababishia kifo.

Acha kujihusisha na makundi hatarishi kama vile wapanga vurugu, wanaotaka kufanya maandamano yasiyo rasimi, kujihusisha na wizi wa Mali za watu, acha kushiriki kwenye upotoshaji wa aina yyte Ile kwasababu ukifa utasahaulika siku hyohyo na maisha yataendelea.

Ni upumbavu kutokulinda nafsi yako dhidi ya kifo cha kujitakia.
Si mlisema GenZ imesambaratika na mkalipongeza jeshi kwa kufanikisha utulivu wa D9!?

Sasa huku kuweweseka kunatoka wapi, wakati mtaji wa jeshi bado mnao?

Mkumbuke; GenZ hawapoi kifala.
GenZ sio watu wa shughuli fulani bali RIKA ambalo liko maeneo yote mpaka jeshini. Ni suala la muda tu.
 
Mwambe juzi Waziri Leo mtuhumiwa kwa tuhuma za hovyo na alikuwa afe,polepole juzi Balozi Leo hayupo ,yule mama aliuwawa na risasi hakuzungumza alijifungia ndani na alitii maagizo Leo hayupo yule kijana alitoka kuandamana amekufa,yule alikuwa hospital alikuwa anaumwa kichaa Cha mbwa amepona, na wewe Leo umeandika hapa kesho hatujui itakuaje ... Kufa utakufa iwe kwa kushiriki ama kutoshiriki ulichoita matendo maovu.
 
Sasa wakifa mm wananihusu nini kwani tumezaliwa pamoja au tuna share damu...acha upumbavu
 
Si mlisema GenZ imesambaratika na mkalipongeza jeshi kwa kufanikisha utulivu wa D9!?

Sasa huku kuweweseka kunatoka wapi, wakati mtaji wa jeshi bado mnao?

Mkumbuke; GenZ hawapoi kifala.
GenZ sio watu wa shughuli fulani bali RIKA ambalo liko maeneo yote mpaka jeshini. Ni suala la muda tu.
Habari yangu haihusian na gez z kwanza tz hatuna gen z tuna panyaroad..ole wenu narudia tena ole wenu
 
Back
Top Bottom