Ugwadu! Kiboko ya mchawi

Mkuu Mshana nadhani ni muda wa kufanya maombi kwa Mungu unayemuamini atakulinda,kwa sisi wakristo ukijitakasa,ukaomba kwa imani...Mungu ni mwaminifu kabisa...
Tumtegemee Yesu, kulala na ndimu kila siku nayo ni shughuli.
 
Kama ukikosa ndimu au kitunguu saumu kwa wale wanoota ndoto za kulishwa vitu hasa nyama tumia mbilimbi pia zinafaa sana... Mbilimbi mbichi
 
Si bora uongezee na ukali kabisa pilipili, utundike zote mlangoni, dawa ya kibaniani ya kuzuwia uchawi na uhasidi...
 
kumbe!!! mbona kesho nitakuwa nayo !
 
kuna vitu vingi sana unajua ila watu tu wamezoea kusoma vitu laini kama magazeti ya ijumaa .upo anga jingine na hata juzi unawaambia kuwa manii za kiume au mafuta ya krisma au ekaristi takatifu huwa inachukuliwa na hawa wachungaji wengine kupata nguvu za giza watu bado hawakuelewi.upo levo nyingine ambayo watafikiri wewe ni kichaa.Wbongo kusoma ni shida!!
 
kuna uchawi wa kujifunza na wewe ni mchawi tayari shida tu haufanyii mazoezi ila unajua mengi na hapo ndio wazungu wachawi wanatuzidi kwani huwa wakifanya utafiti wanajaribu.mzungu mchawi ni mbaya jamani
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Jr[emoji769]
 
360gawa kwa 2=180

idadi ya ndimu kwa mwaka
Mara miaka utakayoishi duniani


Duhhhhhhhhhhhhhhhhhhh.

Iman ndio njiapekee ya kuepuka gharama za kina Mwamposa
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
360gawa kwa 2=180

idadi ya ndimu kwa mwaka
Mara miaka utakayoishi duniani


Duhhhhhhhhhhhhhhhhhhh.

Iman ndio njiapekee ya kuepuka gharama za kina Mwamposa

Jr[emoji769]
 
J Limau vipi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…