Ugonjwa wa Figo wazidi kuwatesa vijana, Hospitali zapokea wanne hadi 9 kila siku

Tunathakini Sana Kodi kuliko maisha ya watu wetu. Tunasubiri nini kuvifungia hivi vinywaji wakati vijana wetu walio nguvu kazi ya taifa wakiteketea? Itafika wakati tutakuwa tumechelewa kwani mdharau mwiba huota tende.
Perhaps
 
Pombe chafu na feki serikali ndio imezifumbia macho kabisa
Ni kweli, maana hata kufahamu wanaouza hizo pombe feki ni rahisi sana. BEI ZAKE TU NI KIELELEZO KUWA HIZO POMBE NI FEKI. Huyo kiongozi asiseme kuwa ni vigumu kuwakamata wanaojihusisha na biashara hiyo.

By the way, POMBE ni haramu, hayo yalishasemwa. Huhitaji hata utafiti. Karibuni katika kundi letu, Zero tolerance juu ya pombe.
 
Ni kweli unachokisema, ila sitakuja kwenye hilo kundi lenu mliloambiwa pombe ni haramu, ila asante sana kwa mwaliko wako 🙏🙏
 
Back
Top Bottom