Mengi anataka kutuibia kwa kisingizio cha uzawa,hana hela ya kuwekeza kenye gesi,anataka apewe kitalu kisha awe dalali,akiuze kwa wawekezaji wengine. Mengi ni mnafiki. Prof Mhongo komaa,nakuombea Mungu akupe nguvu na afya,akulinde..
Imeishaonekana kitaalam hela inayohitajika kwenye uwekezaji mengi hana hata robo,sasa analia nini?anataka matakwa yake binafsi ionekane ni matakwa ya watanzania wote. Mengi kafie mbele,serikalini wanamjua ni mnafiki mkubwa,hana la maana.
Sasa amebaki kuwahonga wabunge wenye njaa kama mbatia wakajiropokee bungeni ili ionekane anaonewa. Watu wenye akili hili wanalijua.
mengi anataka kutuibia kwa kisingizio cha uzawa,hana hela ya kuwekeza kenye gesi,anataka apewe kitalu kisha awe dalali,akiuze kwa wawekezaji wengine. Mengi ni mnafiki. Prof mhongo komaa,nakuombea mungu akupe nguvu na afya,akulinde..
Imeishaonekana kitaalam hela inayohitajika kwenye uwekezaji mengi hana hata robo,sasa analia nini?anataka matakwa yake binafsi ionekane ni matakwa ya watanzania wote. Mengi kafie mbele,serikalini wanamjua ni mnafiki mkubwa,hana la maana.
Sasa amebaki kuwahonga wabunge wenye njaa kama mbatia wakajiropokee bungeni ili ionekane anaonewa. Watu wenye akili hili wanalijua.
Toa jina tukujue wewe unaeshangilia watu wa nje tu kuwekeza tz huo ni utumwa wa fikra na ndio utumwa mkubwa zaidi duniani
ukitaka jina ntakwambia ila uniambie kwa nini unalitaka.
Sio kweli kua natetea wawekezaji wa njee ila penye ukweli lazma tuwe wakweli tuache unafiki. Kama mahitaji/vigezo vya kua mwalimu wa chuo kikuu ni kuanzia digrii ya uzamivu(phd) wewe umemaliza darasa la saba au form 4 hiyo kazi unaitaka wakati vigezo huna ukinyimwa ulaumu,ulie kwamba mzawa unanyimwa fursa??.
Imeonekana kitaalam mahitaji ya kifedha(financial resources) ya uvunaji wa gesi hakuna mtanzania anaweza kukidhi vigezo,sasa wakipewa watafanyaje kuvuna hiyo gesi?. Wanataka,hasa mengi apewe kisha awe dalali,akatafte wawekezaji. Huo utakua ni ujuha kama tunaweza kufanya uwekezaji wa aina hiyo.
Wewe niambie wazawa wakishapewa vitalu hiyo gesi wataivunaje wakati hawana hela? Tusipende kulaumu upuuzi.
thibitisha pasipo na shaka juu ya mbatia kuhongwa na mengi, VINGINEVYO NA WEWE UNATETEA UDHALIMU WA CCM DHIDI YA WAZAWA WA NCHI HII.
Unadhani hao wawekezaji wanakuja na hela kwenye mabegi na wao wanakopa ktk kuwekeza kwao.Kwa hiyo unadhani wawekezaji wa ndani hawakopesheki mtanzania uko karne gani hakuna wenye mitaji na hata ukiwa nao ni lazima ukope
mengi ataanzisha kikundi kama cha Niger delta kule mtwara we acha waendelee kumkenulia menoHakuna ugomvi kwa kuwa mpinanaji ni mengi pekee. Mengi sijajua bado kama anataka kusaidia Watanzania au kujisadia mwenyewe.Kama sera ya umiliki wa vitalu inatakiwa kuruhusiwa basi Watanzania wote waliochukuliwa maeneo yao kwa manufaa ya umma warudishiwe.
mengi ataanzisha kikundi kama cha Niger delta kule mtwara we acha waendelee kumkenulia meno