Ugojwa mpya umewaingia wadada na wamama.

Ugojwa mpya umewaingia wadada na wamama.

Hahahahaha Tata kwahiyo ushazoea kukaa na wenye ugonjwa huo kwa muda mrefu vipi hupati maumivu??

Usiwe na shaka ChescoMatunda muda utafika na wewe utazoea tu. Kinachofanyika ni kubadilisha mtazamo na ikiwezekana jina. Badala ya kuyaita maumivu unayaita mapenzi motomoto au majukumu au chochote kile halafu unawajibika kwa kwenda mbele.
 
Ni kweli wadada tuna ugonjwa wa shopping. Hata kama huna hela window shopping inatosha kwa mwanamke. Unajua sababu ni nini? Kila siku nguo mpya zinatoka tena nzuri zaidi.
 
Back
Top Bottom