Ugojwa mpya umewaingia wadada na wamama.

Mwanamke nguo, mwanamke kiatu, mwanamke pochi, mwanamke obagi,
mwanamke kupendeza.
Nisipopendeza utanipenda?
Tuacheni jamani...
Ushaambiwa mwanamke ni pambo la dunia.

ata wanaojiuza pale sinza nao ni mapambo2 eti mama!
 
Katika pitia pitia zangu kuhusu magonjwa ya wasichana na wanawake nimegundua aina mpya ya ugonjwa maarufu kwa wengi Lakini hawajui Ama hawajijui kama wanao ugonjwa ni ugonjwa wa shopping. Chunguza kuanzia wasichana wa shule vyuo mpaka wamama wanao ugonjwa Yaani mtu Ana nguo makabati chumba kizima viatu kibao Lakini bado anataka kuingia dukani anunue nguo mpya! Watalaam wa magonjwa ya akili wameuelezea huu ni ugonjwa mkubwa wa shopping juchunguze una nguo kiasi gani na kwanini bado unataka kununua nyingine?? Tujadili....

Wewe unaonesha ndiyo mpya kwenye hii fani ya mahusiano na hawa watani zetu wa jadi. Kwa sisi maveteran hayo mambo ya mapenzi ya shopping tumeyajua miaka mingi iliyopita. Wewe toa pesa tu ya shopping ya huyo mhusika kama yupo halafu kauka tu na visuruali vyako viwili na vishati vitatu na pair moja ya kiatu cha ngozi, raba na makobazi halafu maisha yanaenda mbele.
 
Kuna ugonjwa mpya wa kuleta sred mmu hata zisizo na mashiko. Madaktari wanahisi ugonjwa huo ulianzia fesibuku na twira, lakini kwa sasa umeanza shambulia na jf.
Taarifa zaidi zinasema thread nyingi zinazoanzishwa na wagonjwa hao zinawahusu wanawake na waathirika wakubwa wa ugonjwa huu ni wanaume.
 
Katika pitia pitia zangu kuhusu magonjwa ya wasichana na wanawake nimegundua aina mpya ya ugonjwa maarufu kwa wengi Lakini hawajui Ama hawajijui kama wanao ugonjwa ni ugonjwa wa shopping. Chunguza kuanzia wasichana wa shule vyuo mpaka wamama wanao ugonjwa Yaani mtu Ana nguo makabati chumba kizima viatu kibao Lakini bado anataka kuingia dukani anunue nguo mpya! Watalaam wa magonjwa ya akili wameuelezea huu ni ugonjwa mkubwa wa shopping juchunguze una nguo kiasi gani na kwanini bado unataka kununua nyingine?? Tujadili....

Hahahahahahh ndo nyie nyie mnaoacha wake zenu hom rafuu halafu mkiona mwamke kapendeza barabarani mnaanza kumtamani.....wapendezesheni wake zenu hom kila cku muwaone wapya kama ulivyomuona first tym.....shopping must!
 
Wewe unaonesha ndiyo mpya kwenye hii fani ya mahusiano na hawa watani zetu wa jadi. Kwa sisi maveteran hayo mambo ya mapenzi ya shopping tumeyajua miaka mingi iliyopita. Wewe toa pesa tu ya shopping ya huyo mhusika kama yupo halafu kauka tu na visuruali vyako viwili na vishati vitatu na pair moja ya kiatu cha ngozi, raba na makobazi halafu maisha yanaenda mbele.

Hahahahaha Tata kwahiyo ushazoea kukaa na wenye ugonjwa huo kwa muda mrefu vipi hupati maumivu??
 
Last edited by a moderator:
Katika pitia pitia zangu kuhusu magonjwa ya wasichana na wanawake nimegundua aina mpya ya ugonjwa maarufu kwa wengi Lakini hawajui Ama hawajijui kama wanao ugonjwa ni ugonjwa wa shopping. Chunguza kuanzia wasichana wa shule vyuo mpaka wamama wanao ugonjwa Yaani mtu Ana nguo makabati chumba kizima viatu kibao Lakini bado anataka kuingia dukani anunue nguo mpya! Watalaam wa magonjwa ya akili wameuelezea huu ni ugonjwa mkubwa wa shopping juchunguze una nguo kiasi gani na kwanini bado unataka kununua nyingine?? Tujadili....

Sasa unataka wavae nguo zile zile miaka yote hata kama fasheni imepita?
 
Ukisikia ugonjwa wa shopping haimaanishi nguo zako tatu kuna watu wapanga vyumba vya nguo na bado wanataka kwenda shopping kununua nguo.
 
Hahahahaha Tata kwahiyo ushazoea kukaa na wenye ugonjwa huo kwa muda mrefu vipi hupati maumivu??
ChecsoMatunda haya huwa hatuyaiti maumivu bali yanaitwa majukumu. Hivi tuseme ukweli; nani asiyependa mke (au girlfirend kwa wale ambao hawajaoa) wake apendeze humu ndani? Sasa kama unapenda mke apendeze unadhani atapendeza kwa maombi kwa mchungaji Kakobe au ya mzee wa upako? Lazima mwanamke aji-benchmark na wenzake na kisha afanye shopping ili kwenda na wakati. Vinginevyo huchelewi kusikia mwanaume mzembe akilalamika oooh mke wangu yuko shabby, ooh amepitwa na wakati na upuuzi mwingine kama huo. Mimi nikiwa na fedha huwa nampa hela ya kutosha shopping kwa moyo mweupe kabisaaaa. Nikiwa sina nikamwambia kuwa kwa sasa sina huwa anaelewa kwa urahisi na kwa moyo mweupe tu.
 
Amerika shopping hutumiwa kuondoa stress,mtu akiwa na stress anaenda kufanya shopping.
Sasa sijui kama na sisi tumefika huko kiasi cha kuita ugonjwa.
 
Afu wewe heaven on earth nishajua maeneo ya kukukamatia,si pale mwenge,nitakuwa nakuja pale ili nie-enjoy ile miondoko ya madaha.
 
Huu ugonjwa upo siku nyingi tu, labda kama ulikuwa haujampata ndugu yako wa karibu au jirani, ndio maana unauona mpya....
 
MWANAMKE NI PAMBO LA NYUMBA
japokuwa siku hizi muna nunua vinyago na midoli
ili mupendezeshe nyumba zenu, mume shindwa kutimiza wajibu wenu kwa wake zenu
mume baki na meneno bila matendo,
 
na wale wasiokuwa na hela ya kufanya shoping ugonjwa wao ni nini?
 
mwanamke kuvaa
mwanamke kupendeza
mwanamke swaga babu
zikijaa kabatini unagawa
unaanza upya,tunakufa na fasheni meen
na hiyo ni nature yetu!!

hahahaaa...... Pacha chesco anataka fashion zitupite.. Amesha sahau kuwa sie ndio mawaridi wa duniani????
 
Back
Top Bottom