Hichi anachofanya museveni ndiyo taratibu za nchi yake.Uganda ajifunze kukaa kimya
Kila Nchi ina taratibu zake, mzee mseven ajifunze kwa Kenyatta
Hichi anachofanya museveni ndiyo taratibu za nchi yake.
Wewe unampangia cha kufanya??
Umeshasema kila nchi ina taratibu zake,Anatakiwa akabidhi reports kwa wizara ya Afya upande wa Tanzania
Kama huku kwa jiweUganda ajifunze kukaa kimya
Kila Nchi ina taratibu zake, mzee mseven ajifunze kwa Kenyatta
Juzi hapo walikuwepo madereva wa malori kama 800 Wanapimwa mabibo,au una maanisha kupimwaje?Huu ugonjwa sasa unasambazwa na madereva wa malori....kwanini serikali isifanye hata jitihada kuwapima hawa madereva.
Tumeshawaelewa nia ya kutokutangaza maambukizi....kazi tunawaachia majirani kutuumbua tu kila siku.
Utaratibu wa Uganda kutangaza majibu yote hadharani. Kila nchi na utaratibu wake.Uganda ajifunze kukaa kimya
Kila Nchi ina taratibu zake, mzee mseven ajifunze kwa Kenyatta
Umeshasema kila nchi ina taratibu zake,
Taratibu za uganda ni kutangaza idadi ya wagonjwa na nchi zao kisha kuwarudisha kwao.
Kila mtu aendelee na taratibu zake tusipangiane.
Kama huku kwa jiwe
Utaratibu wa Uganda kutangaza majibu yote hadharani. Kila nchi na utaratibu wake.
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Sarakasi zako hapa jukwaani kwa mawazo yako ndo unasimama na nchi?!Huu ni muda wa kusimama na Nchi yenu acheni siasa
Nchi unaisimamia na bunge la ndugai?Huu ni muda wa kusimama na Nchi yenu acheni siasa
Ndiyo nasimama na nchi yangu kwa kusisitiza ukweli na uwazi kwenye kutoa takwimu.Huu ni muda wa kusimama na Nchi yenu acheni siasa
MATAGA hamjawahi kuwa na akiliUganda ajifunze kukaa kimya
Kila Nchi ina taratibu zake, mzee mseven ajifunze kwa Kenyatta
A cha kumpangia cha kufanya na wao ni Nchi huruAnatakiwa akabidhi reports kwa wizara ya Afya upande wa Tanzania
Sarakasi zako hapa jukwaani kwa mawazo yako ndo unasimama na nchi?!
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM