#COVID19 Uganda yatangaza Visa vipya 31 vya COVID19, visa 16 ni Watanzania

Km wewe ulivyosimama na mbowe
Ndiyoo, ila kusimama na MBOWE maana yake sio kusimama na nchi, ila MATAGA wenzio anasema kusimama na Polepole ndo kusimama ni nchi. Vipi wewe kusimama kwako na Lugola nawe unaona ndo kusimama na nchi?
 
Wizara ya afya Uganda imetangaza Visa vipya 31 vya Covid 19 baada ya sampuli 1,116 kupimwa na kufanya jumla ya maambukizi kufikia 253, wagonjwa 23 ni kutoka mipakani kati yao 20 ni madereva wa malori ambapo 16 ni Watanzania na 4 Wakenya, wote wamekabidhiwa katika nchi zao. Kwanza TV on Twitter
 
Halafu wakifika Tanzania wanabarikiwa na " mungu " wa nchi yao tu na wanapona haraka sana na mgonjwa anabakia yule yule mmoja aliyeko Mloganzila
 
M7 anahangaika na vijamafua namhurumia sana anavyobomoa uchumi wa Uganda, na hii corona ndo itakuwa ticket yake ya kupinduliwa.
 
Sasa wanavyosema goma limepungua bila kutangaza visa vipya wala kupima watu tuwaeleweje?
Oh kumbe issue ni herd immunity

Back
Top Bottom