Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,980
- 16,687
- Thread starter
- #61
Lakini mwelekeo wa kesi inaonesha kuna dalili za GenocideTaarifa yako haiko sahihi!
Hakuna jaji aliyeunga mkono genocide kwa sababu kesi kuu inayohusu genocide bado haijatolewa hukumu au uamuzi, na madai ya kuwepo kwa genocide bado hayajathibitika mahakamani.
Uamuzi wa ICJ wa juzi unahusu hatua za muda mfupi (provisional measures) kwa sababu kesi inayohusu genocide inaweza kuchukua miaka mingi kukamilika na uamuzi wa jumla kutolewa.
Huyo jaji wa Uganda amezikataa hizo provisional measures na ametaja sababu zake. Haimaanashi kuwa anaunga mkono "genocide", kitu ambacho hata ICJ yenyewe kwenye uamuzi wake bado haijajiridhisha kuwa kimetokea.