Uganda wasema hawahusiki na Jaji aliyeunga mkono Genocide dhidi ya Palestina

Taarifa yako haiko sahihi!

Hakuna jaji aliyeunga mkono genocide kwa sababu kesi kuu inayohusu genocide bado haijatolewa hukumu au uamuzi, na madai ya kuwepo kwa genocide bado hayajathibitika mahakamani.

Uamuzi wa ICJ wa juzi unahusu hatua za muda mfupi (provisional measures) kwa sababu kesi inayohusu genocide inaweza kuchukua miaka mingi kukamilika na uamuzi wa jumla kutolewa.

Huyo jaji wa Uganda amezikataa hizo provisional measures na ametaja sababu zake. Haimaanashi kuwa anaunga mkono "genocide", kitu ambacho hata ICJ yenyewe kwenye uamuzi wake bado haijajiridhisha kuwa kimetokea.
Lakini mwelekeo wa kesi inaonesha kuna dalili za Genocide
 
Lakini mwelekeo wa kesi inaonesha kuna dalili za Genocide
Ni kazi ya South Africa kuthibitisha kwamba genocide imetokea ama kuna nia (intent) ya genocide. Kesi bado ni mbichi, pia ni ngumu. Ndio maana ICJ kwenye uamuzi wake wa provisional measures imetumia neno "prevent" na sio "stop".
 
Watu wote wenye akili timamu na ubinadamu wanapinga mauaji ya Wapalestina na uonevu dhidi ya wapalestina
Pale ni mahakamani, hakuna huruma, ndio maana nchi za kiarabu zilikuwa kimya, ni sheria na vifungu vya sheria, kama mamlaka za Gaza zingesaidia kuwasaka wapiganaji wa Hamas waliofanya mashambulizi October 7 na kuwapeleka mahakamani kwa kufanya uvamizi, hapo Israel angeingia mtegoni, lakini watu wameshambulia nchi jirani na kukimbia kujificha kwenye nyumba za ibada, shule, hospitali na wewe mwananchi unawapa ushirikiano, mlitarajia Israel wafanyeje?
 
Taifa teule,atakayeibariki Israel atabarikiwa,atakayeilaani atalaaniwa
Hilo nalikubali kabisa.
Ndo maana waisraeli wanabaka waafrika wa Ethiopia huko kwa sababu hio hio.
Inama ubarikiwe atakae kataa atalaaniwa.

Naskia wanatoa ticket za bure
Fanya fasta ukabarikiwe na wewe na maji ya uzima ya Neta nyau
 
Hilo nalikubali kabisa.
Ndo maana waisraeli wanabaka waafrika wa Ethiopia huko kwa sababu hio hio.
Inama ubarikiwe atakae kataa atalaaniwa.

Naskia wanatoa ticket za bure
Fanya fasta ukabarikiwe na wewe na maji ya uzima ya Neta nyau
Umeyatimba sheikh
 
Acha uongo Africa nzima Iko bega Kwa bega wapi uliisikia hata Tanzania ikitoa tamko lolote kuhusu hiyo vita?
Unaandika upumbavu bila kuwa na elimu ya suala lenyewe.
We utakuwa umezaliwa juzi.
Tanzania tupo Bega kwa Bega KIMAANDISHI na South Africa toka kabla ya uhuru wao na mpk baada ya uhuru .

Nenda japo library ukasome HISTORIA za African National Congress (ANC)
The Pan African Congress (PAC) from South Africa
Mozambique Liberation Front (FRELIMO),
The People’s Movement for the Liberation of Angola (MPLA),
the Zimbabwean African National Union (ZANU),
The Zimbabwean African People’s Union (ZAPU), na
The South West Africa People’s Organisation (SWAPO) from Namibia. Uone uhusiano wao na Tanzania na Kipi wamefanya pamoja na kipi wamekubaliana kama mataifa ya Africa.

Elimu hamna lkn midomo mireefu sana.
 
Serikali ya uganda imetoa taarifa rasmi kuwa maamuzi ya Jaji raia wa Uganda aliyeunga mkono mauaji ya kimbari ya wapalestina katika mahakama ya kimataifa ya Hague kuwa haihusiki kwa namna yeyote na hayo ni maamuzi yake binafsi.

Huyu Jaji naona mpaka nchi yake imeamua kumtosa sijui atakua kalipwa Sh.ngapi na magaidi wa israeli ili kuwatetea. Tusubiri kesi bado inaendelea.

View attachment 2885013
Mkuu unamaanisha majaji wote waliokuwa against na Israel walitumwa na nchi zao?
 
Mkuu unamaanisha majaji wote waliokuwa against na Israel walitumwa na nchi zao?
Of course.
We unadhani kuna Jaji asiewakilisha Taifa lake pale?

Jaji yyt ktk mahakama za kimataifa akienda kinyume na Agenda ya Nchi yake lzm aondolewe, atakuwa ni msaliti na kibaraka.
 
"Sir John Roberts" thibitisha kama hamas sio gaidi
Swali la kipumbavu hili
Nelson Mandela aliitwa GAIDI kwa miaka zaidi ya 30.
Siku a anakamata dola wazungu hao hao wakaanza kumuita "Mpigania uhuru na mkombozi wa waafrika "..

Acheni kulishwa matango pori na wazungu mkasanua midomo bila kuchunguza mnacholishwa.
 
Back
Top Bottom