Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,650
- 15,974
Serikali ya uganda imetoa taarifa rasmi kuwa maamuzi ya Jaji raia wa Uganda aliyeunga mkono mauaji ya kimbari ya wapalestina katika mahakama ya kimataifa ya Hague kuwa haihusiki kwa namna yeyote na hayo ni maamuzi yake binafsi.
Huyu Jaji naona mpaka nchi yake imeamua kumtosa sijui atakua kalipwa Sh.ngapi na magaidi wa israeli ili kuwatetea. Tusubiri kesi bado inaendelea.
Huyu Jaji naona mpaka nchi yake imeamua kumtosa sijui atakua kalipwa Sh.ngapi na magaidi wa israeli ili kuwatetea. Tusubiri kesi bado inaendelea.