Uganda Vs Rwanda kimenuka

Uganda Vs Rwanda kimenuka

Rwanda has no muscles to fight Uganda.Nachukiaga sana hii argument ya kwamba Rwanda inanguvu kubwa ya kivita au watu kuifanya ionekane hivyo.Au kuipaisha kwamba ina jeshi bora kuliko nchi zote za Afrika Mashariki.Nakumbuka wakati wa vita yetu baridi wakati wa JK,kuna watu walidai Rwanda inaweza kutufunza adabu.This is redecoulously insane!

Kinachoisaidia sana Rwanda ni katika kitengo chake cha ujasusi tu.Na imefanikiwa kutokana kuwatumia watu wenye nasaba na taifa hilo waliohamia katika mataifa mengine kutokana na sababu mbali mbali.Na ujasusi huu ni kwa nchi inazopakana nazo kutokana na watu wake wengi kutapakaa kwenye mipaka ya nchi jirani kwa wingi due to political instability na civil war in the past,mpaka kujipata wameingia kwenye mipaka ya nchi jirani. Mfano kuna jamii kubwa ya watutsi na wahutu Mashariki mwa DRC,Mkoani Kagera Tanzania na kusini magharibi mwa Uganda.Kumbuka kuna baadhi yao waliingia ata kabla ya nchi hizi hazijapata Uhuru.So wamejipenyeza mpaka kwenye vitengo nyeti kwenye nchi hizi.Kwa mfano nchini Uganda wengi wenye nafasi nyeti kwenye vyombo vya usalama ni watu wenye nasaba na Rwanda.Wengi wao wanamliki mali na kampuni kubwa tu Uganda.Kwa hivyo katika vita ya ujasusi may be Rwanda can be stronger than Uganda,coz Uganda is fighting with an enemy within.Hii ni the same story na vita ya Kenya dhidi ya Alshabab.Alshabab inajipenyeza Kenya kwa kutumia jamii za kisomali zilizolowea Kenya na makabila yenye nasaba zinzofanana kutoka katika nchi mbili.Vita yake ni ngumu asikwambie mtu.

Ukisikia Kagame anakujengea jeuri maana yake ana watu wake kwenye sekta nyeti za nchi yako.Yani he will fight you from within,refer kitisho alichomwelekezea JK wakati hul.Lakin vita ya moja kwa moja kwenye uwanja wa mapambano.Hawatachukua hata mwezi dhidi ya Uganda or Tanzania.
 
Kuongezea hapo M7 nyumbani kisiasa hivyo basi diversion yoyote itayomtoa ktk udhibiti wa kisiasa nyumbani inaweza tumika vizuri na wapinzani wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr.Slimu anadai kuna mpango wa kutaka kumpindua unasukwa kutokea Uganda na kwa baadhi ya mageneral wa kijeshi watatu wapo under house arrest tuone picha litakuaje jamaa kakata uhusiano ghafla kabisa na kikao cha Afrika Mashariki kwa hao wakuu kilikua wiki kadhaa zilizopita Arusha mpaka kuna muda naona hiyo jumuiya ni kama picha tuu ugomvi wa Nchi ndani ya jumuhiya hiyo kama kawaida...
 
We unajua maana ya proxy war?yaani Tanzania iwe uwanja wa vita kati ya Rwanda na Uganda?wakt huo huo unasema jiwe ataunga mkono upande gani kwa vita unayoizumgumzia?Haya Yemen na Syria ni proxy war ya Saudia na Iran,sasa Tanzania iwe proxy ya Uganda na Rwanda jamn wakuu huyo Jamaa anajielewa kwel?

Sent using Jamii Forums mobile app
Chizi Hugo achana naye!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli Kagame alikuwepo Arusha na alikabidhiwa uenyekiti wa E/Africa.
Mr.Slimu anadai kuna mpango wa kutaka kumpindua unasukwa kutokea Uganda na kwa baadhi ya mageneral wa kijeshi watatu wapo under house arrest tuone picha litakuaje jamaa kakata uhusiano ghafla kabisa na kikao cha Afrika Mashariki kwa hao wakuu kilikua wiki kadhaa zilizopita Arusha mpaka kuna muda naona hiyo jumuiya ni kama picha tuu ugomvi wa Nchi ndani ya jumuhiya hiyo kama kawaida...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli Kagame alikuwepo Arusha na alikabidhiwa uenyekiti wa E/Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unachobisha ni nini? nakwambia hao wakuu wanakutana Mara kwa Mara lakini ugomvi wa chini chini hauishi ni kama vile hakuna jumuiya...Tanzania na Kenya hakupo sawa ni chini chini ukitaka ujue jumuiya hizi zipo kweli nenda Nchi za kusini harafu uwe na karatasi ya bidhaa ya hiyo Nchi kupita Nchi nyingine hakuna usumbufu wowote hata ukitaka kuuza ni kufata mambo yao ya custum yanasemaje unamwaga mzigo unauza...Bongo kutoa pipi tuu Kenya kuingiza Tanzania ni kama madawa ya kulevya...
 
Kwny hii sentensi yako ulikua unamaanisha nini mkuu.?

'jamaa kakata uhusiano ghafla kabisa na kikao cha Afrika Mashariki kwa hao wakuu kilikua wiki kadhaa zilizopita Arusha'.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwny hii sentensi yako ulikua unamaanisha nini mkuu.?

'jamaa kakata uhusiano ghafla kabisa na kikao cha Afrika Mashariki kwa hao wakuu kilikua wiki kadhaa zilizopita Arusha'.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyekiti alitakiwa atoe taarifa kwenye jumuiya yao kuhusu matatizo yaliyopo kati ya Rwanda na Uganda na si kusubiri watu wanafika na mzigo border wanaambiwa ninyi Waganda hamruhusiwi kuingia huku na kuwatangazia Raia wake kuwa wasiende Rwanda unaona sio ghafla hiyo au kwako ghafla ni nini mizigo mingine ni kuharibika Slim anaona poa tuu toka ijumaa Waganda wameoridhesha magari yaliyopo hapo border tayari walipie yapite wao hawataki na Jana wamepeleka jeshi kabisa wakati Waganda wanasema si wakati wa kupeleka jeshi hapo..
 
Mwenyekiti alitakiwa atoe taarifa kwenye jumuiya yao kuhusu matatizo yaliyopo na watu wanafika na mzigo border wanaambiwa ninyi Waganda hamruhusiwi kuingia huku na kuwatangazia Raia wake kuwa wasiende Rwanda unaona sio ghafla hiyo au kwako ghafla ni nini

Hivi unajua mkutano huo ulifanyika 1 feb na haya matatizo ya kukataza kuingiza bidhaa kutoka Uganda to Rwanda unajua yameanza lini?

Kama hujui PK alienda Uganda Last year kuongea na M7 khs masuala ya hao wanyalu kushikwa huko Kampala lkn M7 hakusikia so sasa anapata haki yake

Uganda inaingiza $197mil kwa ku-export to Rwanda wkt Rwanda anaingiza $20mil only kwa ku-export to Uganda so M7 anakipata cha moto.

Ni wkt wa Wafanyabiashara wa Bongo kukamata fursa ya kusupply bidhaa zilizoadimika kwny hio Landlocked country,ingekua wakenya wapo karibu na Rwanda sa hivi wangekua wamefanya mpango wa ku-cover hilo gap la Uganda ila sisi tunabaki kulia lia tu hapa.

Kinachotakiwa ni kutengeneza mazingira rafiki kwa hizi Nchi sio kutegemea ugomvi baina ya Nchi mbili utegemee kupata fursa hapo border yapo magari yanayobeba mafuta yakitokea Mombasa na ni ya Kenya pia yamezuiwa sema hao wote ni ndugu moja watamaliza tofauti zao,
 
Geo poli
Dah....
Vita ikipiganwa itakuwa ngumu sana hii.

Sidhani kama Tanzania inaweza kumuacha Mganda na kumkumbatia Mnyarwanda.
Uganda katika ukanda huu hana rafiki wa kweli ambaye anaweza kukimbia kuomba chumvi mambo yanapokuwa magumu zaidi ya Tanzania, na hili Tanzania inalijua.

Heshima ya Tanzania Uganda ni kubwa sana, hasa kwenye majeshi yao.

Kinachonisikitisha ni mbinu ya kijasusi inayotaka kutumika hapa.

Kwamba Rwanda anataka kumwaga ugali wa Museveni kwa kuipindua dola ya Buganda isiwe ruling class ndani ya Unganda, wakati huo Museveni naye anataka kumwaga mboga kwa kuhakikisha power inahama kutoka kwa watusi kuingia kwa wahutu.
Patamu sana hapo.

Kwa mbaali namuona Nkurunzinza akichekelea mpaka jino la mwisho.
Geo politics
 
Mjomba unazijua mig 21 zetu?,nikupe taarifa ni ndege vita za toleo la kati zisizochuja uwezo kwa miaka nenda rudi ni sawa na land rover old version heshima na uwezo wake uko palepale hizo nyingine ni maboresho ya ziada tokea kwa kina mig21 kama ni gari hilux redio ya button na mark x redio ya touch lakini wote mnasikia na mnaenda mnapotaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi tulishazinunua au bado?
 
Back
Top Bottom