Uganda Vs Rwanda kimenuka

Uganda Vs Rwanda kimenuka

Ndani ya miaka 10 iliyopita mataifa hayo mawili kushirikiana na Kenya waliunda kitu kinaitwa collision of willingness their intention was to sideline Tz gafla wakaanza ku rish kuelekea political federation kumbe bado hatuja maliza makwazo ya kiuchumi na siasa za ajabu viongozi wanaleta personal issues zao ktk mambo ya kitaifa moja kwa moja
 
Tunataka Maendeleo Africa, kupigana si tija.Tushindane kwa maendeleo,sio Sifa zitakazowafaidisha watengeneza silaha.sifa za ubabe wa kivita zimepitwa na wakati.
 
Ndani ya miaka 10 iliyopita mataifa hayo mawili kushirikiana na Kenya waliunda kitu kinaitwa collision of willingness their intention was to sideline Tz gafla wakaanza ku rish kuelekea political federation kumbe bado hatuja maliza makwazo ya kiuchumi na siasa za ajabu viongozi wanaleta personal issues zao ktk mambo ya kitaifa moja kwa moja
Moja ya sababu ya Cow kuvunjika ni
Kenya iliona bila tz ni kazi bure pia huwa hawaamianiani na Uganda

Uganda na rwanda wakagundua pia uturivu wa nchi zao unategemea saana sera za tz

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Rwanda imewasihi wananchi wake kusitisha ziara na biashara nchini Uganda

_105878613_97f14b6e-5bfb-4f6d-b52d-0606bae92c09.jpg
Haki miliki ya pichaUGANDA MEDIA CENTRE
Serikali ya Rwanda imewasihi wananchi wake kusitisha ziara zao nchini Uganda baada ya kuishtumu nchi hiyo kuwanyanyasa raia wake wanaoishi ama kutembelea nchini humo.
Uganda imeishutumu Rwanda kufunga mipaka baina ya nchi mbili,lakini Rwanda imekanusha na kusema mipaka iko wazi.
Alhamisi iliyopita mamlaka ya mapato ya Rwanda iliamrisha maroli ya mizigo kutotumia tena mpaka wa Gatuna kwa madai ya shughuli za ujenzi wa kituo kimoja cha mpakani 'one stop border' baina yake na Uganda.

Kwa mjibu wa mamlaka ya mapato ya Rwanda malori yaliombwa kutumia mpaka wa pili wa Kagitumba kaskazini mwa Rwanda.
_105878615_8ec82a48-450e-4088-8f7b-4c14507248f9.jpg
Haki miliki ya pichaUGANDA MEDIA CENTRE
Hata hivyo watumiaji wa mipaka hiyo miwili hupendelea njia ya mpaka wa Gatuna kuwa rahisi na fupi kuliko ya mpaka wa Kagitumba.
Nchi mbili zinaendelea kurushiana lawama.
Rwanda inaishutumu Uganda kunyanyasa wanyarwanda wanaoishi ama kufanyia biashara nchini Uganda na pia kuunga mkono makundi ya waasi hususani kundi la Rwanda National Congres linaloongozwa na mkuu wa zamani wa majeshi Jenerali Kayumba Nyamwasa aliyeko uhamishoni nchini Afrika kusini.
Kwa upande mwingine, Uganda inashutumu Rwanda kwa vitendo vya kijasusi kwenye ardhi yake huku ikiwashuku baadhi ya raia wa Rwanda kuhusika na vitendo hivyo.
_105880417_81aa09f8-504e-45f2-a8af-355f079304ed.jpg
Haki miliki ya pichaUGANDA MEDIA CENTRE
Mkwamo wa shughuli katika mpaka wa Rwanda Uganda.
Eneo hilo lina umuhimu mkubwa kibiashara kieneo.
Ni eneo ambalo huruhusu kupita kwa bidhaa kutoka mji mkuu wa Uganda Kampala, au Mombasa pwani ya Kenya.
Wakaazi hapo wanasema ni kama 'ghala kwa biashara kutoka maeneo hayo'.
Akizungumza na BBC, Diwani Abel Bizimana katika eneo la Kisoro anaeleza kwamba, 'Hali haijabadilika. Tunaathirika kama viongozi wa kieneo, kama jumuiya ya wafanyabiashara na wateja pia tunaowahudumia.'
Abel ameeleza kuwa maisha yamebadilika pakubwa.

Kutokana na matatizo ya kibiashara na udhibiti wa watu kutoka na kuingia katika eneo hilo, watu ambao kawaida huja kupokea bidhaa kutoka mjini na wilaya ya Kisoro sasa inaarifiwa hawaji tena, wakiwemo hata waendesha boda boda ambao pia wamesitisha shughuli zao.
Siku mbili kuu za soko katika eneo hilo, Jumatatu na Alhamisi, ambazo hushuhudiwa shughuli nyingi za kibiashara, 'sasa limekuwa kama jangwa', anaeleza diwani Abel.
Usafiri wa mabasi umepungua pakubwa, bidhaa zinaharibika.
Wafanyabiashara wanaobeba mihogo au samaki wanapata hasara katika mpaka kwasababu mali zinaharibika.
'Nilipofika mpakani, nilihisi harufu kali ya samaki waliooza katika eneo hilo' ameongeza Abel.
Wiki iliyopita, msemaji wa serikali ya Uganda Ofwono Opondo ameiomba Rwanda kuruhusu wafanya biashara kuingiza bidhaa ili kuepuka hasara na uhasama zaidi.
Kwa upande wake Waziri wa maswala ya kigeni wa Rwanda, Richard Sezibera amenukuliwa akidai kuwa serikali ya Uganda inawadhulumu raia wa Rwanda wanaoishi Uganda.
Ni aibu sana kwa huyu Dr sizibera kama akiwa anashiriki kutia utambi ugomvi huu ilihali yy alikuwa katibu mkuu wa EAC so vyema akawa mshauri kwa pande zote mbili awe catalyst kuleta mazungumzo on table
 
Kama jiwe atajiingiza kwenye Vita kwa kuwa ni swaiba wa mtu fulani,hivyo Vita akapigane mwenyewe asipeleke vijana wetu.
 
Moja ya sababu ya Cow kuvunjika ni
Kenya iliona bila tz ni kazi bure pia huwa hawaamianiani na Uganda

Uganda na rwanda wakagundua pia uturivu wa nchi zao unategemea saana sera za tz

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Siamini ktk ilo maana Kenya ndio alikuwa kinara maana by that time ndio alikuwa ana finalize SGR yake toka mombasa to Nairobi so alitaka kutumia iyo kama opportunity ku win biashara na mataifa haya mawili lkn pia apate nafas ya kuweka deal la SGR toka Nairobi to Kampala ili apenye ktk nchi zingine za Sadec hasa hasa DRC ... Ss ku fail kuweka SGR toka Nairobi to Kampala ime mkata steam . Lkn cha mubimu hawa viongozi wetu hawatakiwi kutuchagulia nani wa kufanya nae biashara cha muhimu wao wa play part yao ya kusimamia izo biashara
 
Kagame ana support ya raia wake while M7 mambo mazito nyumbani

Kwa hali ilivyo majasusi wameshindwa epusha huu mkanganyo imebaki wanasiasa wafanye kaz yao

Rwanda akiingia vitani tutarajie Congo na Burundi kuwa upande wa Uganda

M7 last month katanua jeshi lake na kuweka makamanda wapya zaidi ya 7 cheo kuanzia brigedia Jenerali ina maana vikosi vinatawanywa kwa formation mpya

Vita hakuna zaidi kinachoendelea ni matayarisho ya vita

Sisi kama TZ enzi ya JK ugonvi ushaisha kitambo now Prague imehamia Nairobi ndio maana mambo yamezid unga kila kona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na likizo ya pasaka imekaribia, nahofia mabomu kutua Chato tukaanza shamra shamra kama za Ruge huku akina Konki Konki Master wakikamatwa na kuwekwa ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#FoodForThought
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks, naamini hakuna chochote hapo ni mazoezi tuu ya kawaida ya kijeshi.
Media ya kwanza kuripoti hili ni Jarida la The Economist. Mimi nilisema humu, huo ni uongo.
Jarida la The Economist Kwa Uongo Limekubuhu, Laja na Uongo Kuhusu EAC Ladai TZ na Kenya Hazielewani. PK na YM Hawaivi, Burundi Kando!. - JamiiForums

To me, na huu utakuwa ni ule ule!.
Wajameni, haya mafuta ya Uganda mpaka yatoke, tutasikia mengi.
P
 
Hali ni tete katika mahusiano kati ya Rwanda na Uganda.

Ikumbukwe tu nchi zote hizi mbili ni "dola za kijasusi" kutokana na backgrounds za watawala wake (both Kagame na Museveni ni majasusi wabobevu).

Nchi zote mbili ni majirani zetu na wanachama wenzetu kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Sio siri kuwa Jiwe na Kagame ni kama chanda na pete, japo pia uhusiano wa Jiwe na Museveni sio mbaya.

Pengine Rwanda na Uganda zikiingia vitani haitotuathiri kwa lolote lakini what if Kagame akitaka kumtumia Jiwe/kuitumia Tanzania kama PROXY? ("Proxy war" ni vita ambapo nchi zenye uadui zinapigana bila zenyewe kuwepo vitani moja kwa moja. Mfano wa proxy war ni Yemen na Syria ambapo Iran na Saudia technically zipo vitani huku Yemen na Syria zikiwa ndio "proxies").

Lakini pia nchi inaweza kuwa "proxy" katika scenario hii (God forbid)- Rwanda na Uganda zaingia vitani, kisha Burundi ikaiunga mkono Uganda (kwa sababu ya uhasama baina ya Kagame na Nkurunziza) na sie tukaiunga mkono Rwanda (kwa sababu ya uswahiba kati ya "Mtu Mrefu Paulo" na Jiwe)

Kijasusi, tayari Rwanda na Uganda wapo vitani. Vita ya kijasusi. Na "kwa vile Dar imesheheni majasusi wa mataifa mbalimbali kama ilivyo Brussels, Ubelgiji (soma zaidi hapo chini)" basi nayo technically ni sehemu ya vita hiyo.

I hope busara zitatawala kwa wahusika kuepusha vita kati yao.

#FoodForThought

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao hata siku moja hawawezi kuingia vitani, maana hao ni ndugu wa baba mmoja. Wasikupe hofu wataishia kutaniana hivo hivo kwa kusogeza vikosi vyao mipakani!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali ni tete katika mahusiano kati ya Rwanda na Uganda.

Ikumbukwe tu nchi zote hizi mbili ni "dola za kijasusi" kutokana na backgrounds za watawala wake (both Kagame na Museveni ni majasusi wabobevu).

Nchi zote mbili ni majirani zetu na wanachama wenzetu kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Sio siri kuwa Jiwe na Kagame ni kama chanda na pete, japo pia uhusiano wa Jiwe na Museveni sio mbaya.

Pengine Rwanda na Uganda zikiingia vitani haitotuathiri kwa lolote lakini what if Kagame akitaka kumtumia Jiwe/kuitumia Tanzania kama PROXY? ("Proxy war" ni vita ambapo nchi zenye uadui zinapigana bila zenyewe kuwepo vitani moja kwa moja. Mfano wa proxy war ni Yemen na Syria ambapo Iran na Saudia technically zipo vitani huku Yemen na Syria zikiwa ndio "proxies").

Lakini pia nchi inaweza kuwa "proxy" katika scenario hii (God forbid)- Rwanda na Uganda zaingia vitani, kisha Burundi ikaiunga mkono Uganda (kwa sababu ya uhasama baina ya Kagame na Nkurunziza) na sie tukaiunga mkono Rwanda (kwa sababu ya uswahiba kati ya "Mtu Mrefu Paulo" na Jiwe)

Kijasusi, tayari Rwanda na Uganda wapo vitani. Vita ya kijasusi. Na "kwa vile Dar imesheheni majasusi wa mataifa mbalimbali kama ilivyo Brussels, Ubelgiji (soma zaidi hapo chini)" basi nayo technically ni sehemu ya vita hiyo.

I hope busara zitatawala kwa wahusika kuepusha vita kati yao.

#FoodForThought

Sent using Jamii Forums mobile app

Brother Chahali, kusema ule ukweli unahitajI pumzika kwa muda ujipe muda wa kuwaza namna ya kujenga hoja. Mengi unayoandika sio ya level yako
 
M7 na Mr Slim ni majasusi isije ikawa wametengeneza Picha waonekane wana uhasama kumbe ni conspiracy maana sijaelewa chanzo cha uhasama wao.
Hiki ndicho ambacho hata mimi nakifiria, kuna yule mpinzani wa Kagame aliyefia hotelini kule SA, of course Kagame ndiye aliyemuua; namna alivyo fanya ni kama hu "ugomvi" wake na M7, siamini kabisa kama M7 anaweza kua na bifu na Mr. Slim kwa maslahi ya Burundi, never, hawa watu ni maswahiba wakubwa na zipo habari kwamba hawa jamaa apart from uswahiba wao lakini pia ni ndugu, remember wakati M7 anaingia madarakani, Mr. Slim alikua one of the very senior officials kwenye serikali ya Uganda na the same guy (M7) ndiye aliyemsaidia PK kuingia madarakani kwenye ile vita ilimwaga damu nyingi sana za Watutsi kule Rwanda na Burundi kidogo; namshauri sana mhe No 1 wetu, asijiingize kwenya haya mambo, but kwa mwenendo anaokwenda nao raisi wetu nahisi hata yeye nae ni zao la USALAMA wa taifa and hence nae pia ni shushushu vile vile kama wao, Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom