Uganda Vs Rwanda kimenuka

Uganda Vs Rwanda kimenuka

It's an overrated war! A mere dispute hatuwezi kuiita vita but a bit kind of misunderstanding and that's what happened. Uganda na Rwanda were simply allies kumtoa Mobutu. kwa bahati mbaya M7 hakujua mwenzake PK anawaza nini kwa wakati huo. Kagame hawezi shinda vita on clean sheet ila yeye hutumia mbinu ya kuvizia/ambush na ndivyo alivyofanya dhidi ya UPDF. Kwa wakati ule,ilikuwa ngumu kwa Uganda kushinda kwa sababu hakuwa prepared kupigana na mshirika wake but in contrary Rwanda had something else in their Mind. Kwa mtazamo wangu, siyo PK or M7 anatamani vita itokee baina yao kwani utawala wao ndo utakuwa umefika mwisho. wote wana matatizo yao ya ndani ambayo ni more threatening....na ikitokea vita ....ndo ticket ya kung'oka!
Tatizo nikwamba PK hataki kutambua kwamba he can't rule Rwanda kwa amani bila Uganda na pia kujua kwamba Rwanda nikama future province ya Uganda....kumbuka wanyarwanda wanao ishi Uganda wanakaribia idadi ya Wanyarwada wanao ishi Rwanda na nikabila linalo tambulia na katiba ya Uganda.....kwahiyo M7 ana reserve force yakutosha kumuondawa PK kwakutumia wanyarwanda wenyewe PK should play is political cards very well....... otherwise he may disappear from the region

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu na bro wake hao. JPM keshamaliza mchezo, Rwanda imeondoa majeshi mpakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jeshi la Rwanda halijawahi kua tishio kwa Jeshi la Uganda hata siku moja ndomaana M7 alidharau hata police wa kawaida au mgambo hakuwapaeleka mpakani wa Rwanda.....kwanza kabisa wanajeshi wa Rwanda 70% hawajui munyarwada vizri wanaongee Kiganda, Wengi familia zao ziko Uganda wengi wametokea jeshi la Uganda wengi wanawakika wa kukaa Uganda kuliko Rwanda, Uganda na Rwanda ni zaidi ya ndungu asie jua hao watu kama JPM ndo atakaepotaza mda wake eti anawapatanisha, wana mchora akili kujifanya eti ndo chief diplomant wa region.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana PK kazungumzia swala la kudorora kwa mahusiano baina ya nchi mbili za rwanda na uganda !! kiukweli kuna changamoto

pitia haka ka link uone namna shida ipo
 
Back
Top Bottom