NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,965
Wazidunde TUPATE fursa eeeeh!Wapigane tuu
Aaarrgh wananiudhi sasa
Mpaka sasa hiv Bado tuu hakijanuka??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazidunde TUPATE fursa eeeeh!Wapigane tuu
Aaarrgh wananiudhi sasa
Mpaka sasa hiv Bado tuu hakijanuka??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo slimfeet anataka majaribio ya sukoi?????Hizo sukhoi zinatunguliwa tu ndan ya second. Kisangani walinya nganywa vingapi vikachomwa vingapi? Zinachomwa kabla ya kuruka hizo.
ApiaNahapo jeshi lilikua bado halijawa Smart.
Binafsi naona ni kipigo kikali kwa Rwanda, Sukhoi zitakuwa zinaingia na kutoka zitakavyo.Wana uzoefu gani Hao rwanda?vita ya kupigana na wahuni wa mstuni ambao hawana vifaru ndege nk hizo huwa ni operesheni tu sasa mwambie ajichanganye kwa mseveni ambaye nchi yake ilishaonja uchungu wa vita
HahahahahahaUmesahau Jiwe alisema wapigane ili misaada ipitie tz? Mbona mnakuwa wasahaulifu wa makusudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Amini mimi nikuambiacho, EAC hakuna nchi ya kuzuia hizi mashine.Hakuna vita hapo zaidi ya Provocations tu za hapa na pale. Tuendelee kusubiri!
View attachment 1035908
Kale kanchi kakishambuliwa kwa nguvu kabisa ni siku moja tu jioni wanaume wanaingia kigaliBinafsi naona ni kipigo kikali kwa Rwanda, Sukhoi zitakuwa zinaingia na kutoka zitakavyo.
Mjomba unazijua mig 21 zetu?,nikupe taarifa ni ndege vita za toleo la kati zisizochuja uwezo kwa miaka nenda rudi ni sawa na land rover old version heshima na uwezo wake uko palepale hizo nyingine ni maboresho ya ziada tokea kwa kina mig21 kama ni gari hilux redio ya button na mark x redio ya touch lakini wote mnasikia na mnaenda mnapotaka.Amini mimi nikuambiacho, EAC hakuna nchi ya kuzuia hizi mashine.
Amini mimi nikuambiacho, EAC hakuna nchi ya kuzuia hizi mashine.
S-200 zinaingia mwezi wa tano mwanzoniBinafsi naona ni kipigo kikali kwa Rwanda, Sukhoi zitakuwa zinaingia na kutoka zitakavyo.
ITV wanarusha habari hii.
Uganda wanadai hawajui taarifa ya kufungwa mpaka., Raia wa Uganda akiingia Rwanda anarudishwa.
Wanadai Rwanda anakarabati Barabara upande wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kale kanchi kakishambuliwa kwa nguvu kabisa ni siku moja tu jioni wanaume wanaingia kigali
Na wakitaka kumtandika vizuri ni kuwapa silaha waasi wa Congo Na Burundi wakati anahangaika na waasi na huku anashugulikiwa kikamilifu lazima atubu