Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Childish analysisHali ni tete katika mahusiano kati ya Rwanda na Uganda.
Ikumbukwe tu nchi zote hizi mbili ni "dola za kijasusi" kutokana na backgrounds za watawala wake (both Kagame na Museveni ni majasusi wabobevu).
Nchi zote mbili ni majirani zetu na wanachama wenzetu kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Sio siri kuwa Jiwe na Kagame ni kama chanda na pete, japo pia uhusiano wa Jiwe na Museveni sio mbaya.
Pengine Rwanda na Uganda zikiingia vitani haitotuathiri kwa lolote lakini what if Kagame akitaka kumtumia Jiwe/kuitumia Tanzania kama PROXY? ("Proxy war" ni vita ambapo nchi zenye uadui zinapigana bila zenyewe kuwepo vitani moja kwa moja. Mfano wa proxy war ni Yemen na Syria ambapo Iran na Saudia technically zipo vitani huku Yemen na Syria zikiwa ndio "proxies").
Lakini pia nchi inaweza kuwa "proxy" katika scenario hii (God forbid)- Rwanda na Uganda zaingia vitani, kisha Burundi ikaiunga mkono Uganda (kwa sababu ya uhasama baina ya Kagame na Nkurunziza) na sie tukaiunga mkono Rwanda (kwa sababu ya uswahiba kati ya "Mtu Mrefu Paulo" na Jiwe)
Kijasusi, tayari Rwanda na Uganda wapo vitani. Vita ya kijasusi. Na "kwa vile Dar imesheheni majasusi wa mataifa mbalimbali kama ilivyo Brussels, Ubelgiji (soma zaidi hapo chini)" basi nayo technically ni sehemu ya vita hiyo.
I hope busara zitatawala kwa wahusika kuepusha vita kati yao.
#FoodForThought
Sent using Jamii Forums mobile app
Proxy war? Excuse me please.Hali ni tete katika mahusiano kati ya Rwanda na Uganda.

We unajua maana ya proxy war?yaani Tanzania iwe uwanja wa vita kati ya Rwanda na Uganda?wakt huo huo unasema jiwe ataunga mkono upande gani kwa vita unayoizumgumzia?Haya Yemen na Syria ni proxy war ya Saudia na Iran,sasa Tanzania iwe proxy ya Uganda na Rwanda jamn wakuu huyo Jamaa anajielewa kwel?
Sent using Jamii Forums mobile app
Look at this cunt!
Maoni yako nimeyafananisha na yale nayoskiaga BBC SWAHILI
Umemaliza kila kituHili jambo sio jepesi kama vile tunavyolijadili humu, na ukizisoma baadhi ya comments hapo juu unaona kabisa kuna tofauti kubwa ya uwezo wa wachangiaji kwenye mambo ya diplomasia na mahusiano.
Kwanza mtambue hili, sasa hivi watu wanafanya kazi chini chini kuhakikisha hii hali haiendelei.. majasusi wanapanda ndege au tayari wapo Kigali na Kampala kusaidia kuhakikisha hakuna vita. Pili kwa kuwa ni Kenya na Tanzania peke yao ndio stable countries katika ukanda huu, ujue tu kuwa wataubeba huu mzigo wa mashauriano.
Vita ya Uganda na Rwanda HAINA FAIDA YOYOTE KWETU, zaidi sana ni HASARA. Kwanza kukiwa na vita hamna Biashara, bandari zetu na miradi yetu ya miundombinu kwa kiasi kikubwa inategemea sana amani na maendeleo ya biashara katika hizo nchi. Pili wakimbizi, ukiwa unachekelea Ug na Rw kupigana utambue kuwa ni Tanzania ndio itapokea wakimbizi wengi, tegemeeni uhalifu na ujambazi pia kuongezeka... Tatu wao wakiwa hawana amani na sisi pia hatuna amani, hujui ni bomu gani litakosewa likaja kutua Tanzania, ni lazima tutumie rasilimali zetu kulinda mipaka hivyo pesa za miundombinu, hospitali zitaenda kulinda mpaka.. na mengine mengi, bila kusahau masuala ya uhamiaji haramu n.k
So weka mihemko pembeni, ombeni hili jambo lisitokee, vita sio kitu cha kufurahia, sio jambo la kuchekelea.. vita ni damu na hasara, hakuna faida ya vita... uwe unampenda Magufuli au humpendi, ombea sana nchi yako na hekima ya viongozi wetu ili hili jambo liweze kuepukika..
Nahisi pia hili linaweza kuwa ni sababu ya reshuffle ya Foreign Ministry.
Kale Kayihura?? Was He On the Rwandan Payroll!! Justify!! Ila Nakumbuka Sababu za Kutumbiliwa Kwake ni Pamoja na Matukio ya Uhalifu yanayohusisha Polisi Hapa Kampala Kuzidi Snaa.How many Rwandans have been kidnapped and brought back to Rwanda from Uganda, against their will? Ujasusi wa Rwanda. Yule mkuu wa polisi was on their payroll
Mind you Kabudi he is on board as a mediator[emoji23][emoji23][emoji23]Hali ni tete katika mahusiano kati ya Rwanda na Uganda.
Ikumbukwe tu nchi zote hizi mbili ni "dola za kijasusi" kutokana na backgrounds za watawala wake (both Kagame na Museveni ni majasusi wabobevu).
Nchi zote mbili ni majirani zetu na wanachama wenzetu kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Sio siri kuwa Jiwe na Kagame ni kama chanda na pete, japo pia uhusiano wa Jiwe na Museveni sio mbaya.
Pengine Rwanda na Uganda zikiingia vitani haitotuathiri kwa lolote lakini what if Kagame akitaka kumtumia Jiwe/kuitumia Tanzania kama PROXY? ("Proxy war" ni vita ambapo nchi zenye uadui zinapigana bila zenyewe kuwepo vitani moja kwa moja. Mfano wa proxy war ni Yemen na Syria ambapo Iran na Saudia technically zipo vitani huku Yemen na Syria zikiwa ndio "proxies").
Lakini pia nchi inaweza kuwa "proxy" katika scenario hii (God forbid)- Rwanda na Uganda zaingia vitani, kisha Burundi ikaiunga mkono Uganda (kwa sababu ya uhasama baina ya Kagame na Nkurunziza) na sie tukaiunga mkono Rwanda (kwa sababu ya uswahiba kati ya "Mtu Mrefu Paulo" na Jiwe)
Kijasusi, tayari Rwanda na Uganda wapo vitani. Vita ya kijasusi. Na "kwa vile Dar imesheheni majasusi wa mataifa mbalimbali kama ilivyo Brussels, Ubelgiji (soma zaidi hapo chini)" basi nayo technically ni sehemu ya vita hiyo.
I hope busara zitatawala kwa wahusika kuepusha vita kati yao.
#FoodForThought
Sent using Jamii Forums mobile app
Radio kwizera bila shaka
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Hahahaha, asee hapana tujadili hapa hapa
Basically he is court martialed for that. Why do I have to justify on something I do not know? That is what is claimed. They will sort out themselvesKale Kayihura?? Was He On the Rwandan Payroll!! Justify!! Ila Nakumbuka Sababu za Kutumbiliwa Kwake ni Pamoja na Matukio ya Uhalifu yanayohusisha Polisi Hapa Kampala Kuzidi Snaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rwanda is too overrated, afu kanchi kenyewe ni nusu ya tabora tu,ukiwabana mipakani tu na kuwapa maadui zake walioko Congo support kidogo wanafika kigali,Rwanda siyo Israel period.
Umeeleza vizuri saaana ila hapo kuwa jiwe ni zao la dstv sio kweliHiki ndicho ambacho hata mimi nakifiria, kuna yule mpinzani wa Kagame aliyefia hotelini kule SA, of course Kagame ndiye aliyemuua; namna alivyo fanya ni kama hu "ugomvi" wake na M7, siamini kabisa kama M7 anaweza kua na bifu na Mr. Slim kwa maslahi ya Burundi, never, hawa watu ni maswahiba wakubwa na zipo habari kwamba hawa jamaa apart from uswahiba wao lakini pia ni ndugu, remember wakati M7 anaingia madarakani, Mr. Slim alikua one of the very senior officials kwenye serikali ya Uganda na the same guy (M7) ndiye aliyemsaidia PK kuingia madarakani kwenye ile vita ilimwaga damu nyingi sana za Watutsi kule Rwanda na Burundi kidogo; namshauri sana mhe No 1 wetu, asijiingize kwenya haya mambo, but kwa mwenendo anaokwenda nao raisi wetu nahisi hata yeye nae ni zao la USALAMA wa taifa and hence nae pia ni shushushu vile vile kama wao, Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania
Radio kwizera bila shaka
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Hamna vita hapo,Ni PK tu anamchezea sharubu kakaake akijua kashazeeka,mziki wa M7 PK anaijua na anajua M7 akiamua ataenda hata kumsalimia chumbani kwake bila mwalikoVita hivyo hata Tanzania tutaona impact yake. Ngoja tuone hiyo ngoma itachezwa na wengi na huenda hilo bifu halitahusu hizo nchi bali kuna mtego unaandaliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh akili za watanzania wanazijua wenyewe!Hakuna vita hapo ingawaje ikitokea kagame atashinda sababu ya vifaa na technlogia huku mseveni hana teknolojia na jeshi lake haliko Pamoja...Magu atakuwa neutral ingawaje ana uwezo wa kuwachapa wote kwa Pamoja akiamua