Dah.! Nakumbuka D.trump alivyosema sisi tunaitaji kutawaliwa tena.
Iv kwel jirani zako wanataka kupigana unafurahia kwl, inamaana hata tz wakipigana na kenya, uganda itashangilia mapigano hayo au sis watanzania tuna roho mbaya kwa kutaka wapigane !?
Mara nyingi sisi watu weusi tunalalamika kuwa tunabaguliwa na watu weupe, embu emagine waafrica tungekuwa juu kimaendelea, alafu watu waupe wakaw maskini kama afrika ya sasa
Ivi ingekuwaje ?
Haliyakuwa unatamani majirani zako wapigane.
Sent using
Jamii Forums mobile app