UNAFIKI wenyewe huu.Hawaungi mkono mauaji yanayotokea Palestine hata kama waliunga mkono operesheni Entebbe dhidi ya Idd Amin
Hata mimi nipo upande wa ISRAEL,Bila shaka we mmoja wao
Sio lazima owe kujipendekeza, ni principle.Kuna mataifa ya kiafrika huwa yanajipendekeza kwa waarabu wakidhani watachotewa mafuta wapewe bure. Unakuta yanafanya siasa za kinafiki juu ya Israel na palestina. Kwani uganda wangekaa ndani ya ukumbi waarabu wangewauliza nini kama wako na Israel?
Umeandika utumbo aisee.Kuna mataifa ya kiafrika huwa yanajipendekeza kwa waarabu wakidhani watachotewa mafuta wapewe bure. Unakuta yanafanya siasa za kinafiki juu ya Israel na palestina. Kwani uganda wangekaa ndani ya ukumbi waarabu wangewauliza nini kama wako na Israel?
Na muhoozi katuma hadi jeshi kwenda kuisaidia israel kule Gaza.Uganda ni moja ya Taifa ambalo kwenye kikao kule UN walitoka nje kwenye hotuba ya Netanyahu
Uganda ni Taifa ambalo wamejenga sanamu la kaka yake Netanyahu pale Uganda.
Je Uganda wanatofauti na Ndumila kuwili...au mwanamke malaya malaya ??
Mimi sipo upande wowote ila mnajichnganya kuhusu Israel maana wao ndio wanapinga sana Ukristo ila wengi wenu hamjui hili Wayahudi wanaupinga sana Ukristo..Hata mimi nipo upande wa ISRAEL,
Na nyie ambao mpo upande wa AYATOLLAH, mkajenge sanamu pale kizimkazi
poaUmeandika utumbo aisee.
Naomba uniletee hio proof inayoonesha watu wa Israel wakipinga ukristoMimi sipo upande wowote ila mnajichnganya kuhusu Israel maana wao ndio wanapinga sana Ukristo ila wengi wenu hamjui hili Wayahudi wanaupinga sana Ukristo..
Kama hujui kuwa Wayahudi na wakristo ni mbali mbali achana na hizi mambo aisee..Naomba uniletee hio proof inayoonesha watu wa Israel wakipinga ukristo
Mimi najua fika kuwa watu wa Israel sio wakristo,na swala la kusema kwamba sisi wakristo tunaaminishwa kuwa Israel ni taifa teule sio kweli, bali ni biblia takatifu ndio inasema kuwa Israel ni taifa teule.Kama hujui kuwa Wayahudi na wakristo ni mbali mbali achana na hizi mambo aisee..
Wayahudi sio wakristo mazee inagwaje huko mnaaminishwa kuwa ni Taifa lenu..
Mimi sio mdini na wala sipo kwenye mambo ya uislamu na ukristo mimi najua hizi dini zote zilikuja vip maana nina history ya Babu zangu jinsi walivyozipokea hizo uislamu na Ukristo kwa hiyo nazungumzia uhalisia kuwa wale Wayahudi ni wapinga Kristo sana.Mimi najua fika kuwa watu wa Israel sio wakristo,na swala la kusema kwamba sisi wakristo tunaaminishwa kuwa Israel ni taifa teule sio kweli, bali ni biblia takatifu ndio inasema kuwa Israel ni taifa teule.
Kama waislamu wanavyoamini kile kilichoandikwa kwenye Quran kwamba Macca ni mji mtakatifu,ndivyo ilivyo kwa wakristo.