Wayahudi wanampinga kristo tangu yupo Hai,na ndio wao waliomsurubisha msalabani ,lakini hio haiondoi kuwa Israel ni taifa teule,na kingine ni kwamba Israel hamna wayahudi peke yao,Kuna mpka waislamu na wakristo.Mimi sio mdini na wala sipo kwenye mambo ya uislamu na ukristo mimi najua hizi dini zote zilikuja vip maana nina history ya Babu zangu jinsi walivyozipokea hizo uislamu na Ukristo kwa hiyo nazungumzia uhalisia kuwa wale Wayahudi ni wapinga Kristo sana.
Je ni point ipi iliyokufanya useme kuwa Israel sio taifa teule?