evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,970
- 9,898
Kuna mambo yanafurahisha sana .
Yaani watu wanakusifia wewe kwa kufanya kitendo flani kibaya .
Kitendo hicho kibaya aliyekusifia yeye mwenyewe hakifanyi.
Hii kwa wenye akili inaonyesha huyo mtu anakudharau anakuona wewe lofa flani anakupoteza manake huko ni kutoa sifa za uongo.
Kuna watu wanampotosha Rais bahati mbaya na yeye hajui kama anapotoshwa anabakia kuchekwa na kuzaraulika kwa mambo ya hovyo anayofanya
parstoday.ir

Muhoozi Kainerugaba: Ninamkubali Rais Samia Suluhu Hassan; 'Asante mama'
Mkuu wa Majeshi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba amemsifu Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa ni mmoja wa viongozi anaowafadhilisha zaidi wa...