jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,136
- 8,658
kwanini historia yake sasa inapotoshwa?Idd Amin Dada ni Rais ambaye alipaswa kuenziwa na kupewa ukubwa kuliko hata aliopewa TATA Mandela.
.
Hata Julius Nyerere hamfikii iddi Amin ni mtu pekee mweusi duniani kupigiwa magoti na wazungu licha ya kaujinga kadogo tu alikokafanya ka kuwavamia kina Nshomile
Si aliwanyoosha mabeberu vilivyo kama Magufuli anavyojaribu ila sasa yeye kachelewa naona wanamnyoosha yeyekwanini historia yake sasa inapotoshwa?
Noma sana!Si aliwanyoosha mabeberu vilivyo kama Magu anavyojaribu ila sasa yeye kachelewa naona wanamnyoosha yeye
Nimelipenda hili lishikaji sana nadhani huko mbinguni linakula mafao yake tu.
Likam_shoot hadi mtoto wake sema hapa ndipo lilipokuwa linaniangusha 😂😂
yeah na mpka bbc wameonyesha leoMuseveni alikubali hili kweli?
Nonsense!Idd Amin Dada ni Rais ambaye alipaswa kuenziwa na kupewa ukubwa kuliko hata aliopewa TATA Mandela.
.
Hata Julius Nyerere hamfikii iddi Amin ni mtu pekee mweusi duniani kupigiwa magoti na wazungu licha ya kaujinga kadogo tu alikokafanya ka kuwavamia kina Nshomile
unaweza kuona nonsense but kuna mengi mazuri kuhusu huyu mtu lakini wameyafichaNonsense!
Bila shaka itakuwa aidha unatokea Butiama au umezaliwa 1995>>>Binafsi naona Idd Amin na kaguta Mseveni hawana tofauti yoyote
Ila uganda wanabahati ya kupata madikteta
Sababu alizinguana na wale wayahudi FeKi.kwanini historia yake sasa inapotoshwa?