Uganda kuanza kukamata Wanawake wasio na makalio

Uganda kuanza kukamata Wanawake wasio na makalio

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,189
Reaction score
24,611
Imagine hii tweet ni ya mtoto wa Rais na mkuu wa majeshi ya Uganda!! What a disgraced regime?🥸 ila Watusi ndivyo walivyo wabaguzi, wenye chuki na kuwaona watu wengine kama hawana haki ya kutawala na kuwaona wabantu wote na wahutu kama mifugo

I'm sorry, but we will start arresting nyashless women. This is for the future of the country. We can't have women that look like men.
Screenshot_20250705-124328.jpeg
 
Kuna wanawake wasio na makalio duniani??
In a broad sense; Kila aitwaye mwanadamu ana makalio. Nadhani huko kwa "Jamaa" kuna Agenda-fiche ya "Sex cleansing" sio bure.
 
Back
Top Bottom