General Salam: Kawambia US na Israel Kama nyie wanaume njooni piganeni na sisi sio watoto na wanawake

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,306
35,852
General Salam kamanda wa IRGC amewaambia Marekani na Israeli kama wao wanaume basi waje kupigana na Iran waache kuimba taarabu na kupigana na wanawake na watoto wasio na hatia.

General Salami, addressing the US and the Zionist regime: "If you are men, fight us, not women and children"

This statement was made by the commander of the IRGC, General Salami, during his speech in Kerman on the Alley of Martyrs of Golzar-e Shohad.

We warn America and Israel: if you are men, fight us. Why are you killing women and children?
IMG_20240106_033909.jpg
 
Nitamuoña mtu wa maana na Yuko siriazi Kama yeye na jeshi lake wataenda kuwasaidia hao watoto na wanawake wanaouawa bila hatia. Vinginevyo anabwatuka tu kwa sababu anajuwa kabisa vita huwa haianzishwi kwa matamko ya kijinga na ya wajinga wajinga kama hao. Yeye Kama anataka kujuwa huyo Israel au Marekani ni mwanaume it's easy, Fanya hata shambulizi moja ndani ya viunga vya Jerusalem au New York kisha tuone Kama ataendelea kubweka bweka😃😃😃😃
 
General Salam kamanda wa IRGC amewaambia Marekani na Israeli kama wao wanaume basi waje kupigana na Iran waache kuimba taarabu na kupigana na wanawake na watoto wasio na hatia.

General Salami, addressing the US and the Zionist regime: "If you are men, fight us, not women and children"

This statement was made by the commander of the IRGC, General Salami, during his speech in Kerman on the Alley of Martyrs of Golzar-e Shohad.

We warn America and Israel: if you are men, fight us. Why are you killing women and children?View attachment 2863112
Anatoa mishuzi tu, tangu Trump amuue kamanda wao mkuu kwa drone walifsnya nini? Juzi makamanda wao wengine wameuliwa Iraq na Syria, kitu gani wamefanya?
Iran amebakia kupigana Proxy war kwa kuwatumia Hezbollah, Hamas, islamic jihad, nk,Hana intelligence yoyote ya kuwatisha wakristo wa USA na ulaya, juzi islamic State wameua watu 80+kwenye kumbukumbu ya msiba wa kamanda wao, aliyeuliwa kama panya.
Hamas tangu October 7 walipoitandika israel, Iran amekuwa anakana kwamba hausiki, Gaza imeharibiwa kabisa, hatujaona kombora kutoka Iran likienda Israel.
Wa Arab wametuabisha kabisa, Qatar, saudia, Misri,na wengine wanashindwa kuungsna kuisambaratisha Israel once and for all! Wanaogopa mziki wa Mzungu!
 
Nitamuoña mtu wa maana na Yuko siriazi Kama yeye na jeshi lake wataenda kuwasaidia hao watoto na wanawake wanaouawa bila hatia. Vinginevyo anabwatuka tu kwa sababu anajuwa kabisa vita huwa haianzishwi kwa matamko ya kijinga na ya wajinga wajinga kama hao. Yeye Kama anataka kujuwa huyo Israel au Marekani ni mwanaume it's easy, Fanya hata shambulizi moja ndani ya viunga vya Jerusalem au New York kisha tuone Kama ataendelea kubweka bweka
 
Wakati mwingine unaweza kudhani kamanda kama huyu ni wale wanaoamka na kuita media kuongea labda mkewe kamwambia hao wazungu wasitutishe kawape vidonge washenzi sana hao 😂!!.

Anasahau vita siyo ya kumuita mtu aje mpigane bali lazima kuwepo cha uchokozi wa aina yoyote unaomgharimu aliyechokozwa.

Hapa nilidhani Iran angetupa guruneti Israel au kwenye moja ya Base ya marekani alafu akae kwa kutulia.
 
Wana taarab hao washazoea mipasho hao ni mipasho pro max🤣😂😆
 
General Salam kamanda wa IRGC amewaambia Marekani na Israeli kama wao wanaume basi waje kupigana na Iran waache kuimba taarabu na kupigana na wanawake na watoto wasio na hatia.

General Salami, addressing the US and the Zionist regime: "If you are men, fight us, not women and children"

This statement was made by the commander of the IRGC, General Salami, during his speech in Kerman on the Alley of Martyrs of Golzar-e Shohad.

We warn America and Israel: if you are men, fight us. Why are you killing women and children?View attachment 2863112
Ngoja wamdonoe hiko kichwa kinachoropoka ropoka.
 
Amewaambia mahali alipo ili wamfuate apigane nao?
au anaongelea pangoni wakati nyumbani kaacha mke na watoto ili atoe lawama vizuri.
 
Israeli imepigana vita gani wewe acha story za vijiweni..mwambie Israel aingie Iran au Uturuki uone atavyo wambwa juani
Iran mwenyewe alisema israel akiingia gaza atakuwa amejichimbia kaburi,sasa mbona karibu gaza yote inakuwa uwanja wa mpira?
Afaghanistani walisema Osama ni mgeni wao,kama marekani mwanaume amfuate aone cha moto,leo hadithi iko vipi?
 
Back
Top Bottom