Bomba tu kaka pilika za mujini...
Daaah!!!! Umenikumbusha enzi hizooo......nilikuwa boarding shule moja huko upareni (Shighatini Sec) 1984!!! Kitu ugali wa yanga na maharage meupe tunachanganya na parachichi!!!!! Weeeeeee....asikuambie mtu huo utamuuuu!!!!!
Huo ni msaada wa hisani ya watu wa USA, Nyerere alipotutumbukiza kwenye umaskini usio mfano, maskini wa mwisho duniani. Duhh, yule mzee, Mwenyeezi Mungu atamweka anapostahiki.
zomba ulaaniwe milele,
hivi kama siyo nyerere ungesoma hadi hapo ulipo wewe
Kuna colleague wangu yuko hapo Mwanza kikazi lakini sijampa anuani yako maana ni kicheche, asije akakunaniliu bure, mie roho ikaniuma maana niliishia kuchezewa sharubu na sikuona ndani....LOLShikamoo Mzee Mtambuzi....
Afu nimeona gari lenu mitaa ya hapa chini kwetu, nikakukumbuka sana aisee!!