Ugali ni chakula kisicho na faida katika ubongo

Ugali ni chakula kisicho na faida katika ubongo

Black Americans wanakula stiff porridge na stew, ni kama uji lakini unakuwa mgumu kidogo
 
kwa statistics hizi anamaanisha kuwa usa hawatimii mahindi kabisa, huu ni uongo mweupe: kuna corn oil na cornflakes ambazo huliwa mno na age zote, je, hayo siyo matumizi ya mahindi?. mbona tittle ni ugali lakini content ni mahindi, are they interchangable?. btw, mi hula makande na bisi zaidi kuliko ugali
Acha ushamba..! siyo kila msosi/chakula tunakula kwa ajili ya ubongo..!

Anyway niambie kazi ya protein mwilini..! Kisha urudi kuthibisha kama mahindi(kiini) hakina protein! Am not that cheap brain...! Behave sawa.
 
Kijijini kwetu kuna watu wanashindia ugali baadhi yao ni wanasayansi wazuri, hivi ugali haukudumaza akili zao?? Waamerka waachie yao na sisi tubaki na yetu. Kama kuna utafiti wa kina useme (no research no right to speak.)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlisoma biology ata kidogo(nutrition) niambie kazi zote za protein mwilini kisha rudi uthibitishe kama mahindi hayana protein (kwenye kiini).

Kama ulisoma food test utakuwa unajua end product ya starch ni nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma nilichokujibu pale juu ni kuwa ulidai sasa kwani mwili ni akili tu?? Ndo nami nikakuliza mwili bila akili una faida gani?!

Lakini kwa hii iliyo rise uko sahihi !

Cairo's
 
Ninakwenda kwenye restaurants zao lunch time, wanapiga menu kama sisi, starter unaletewa bakuli la red kidney beans, main menu rice, roasted pork, salad, unashushia na frozen yougurt.

Aisee hii restaurant inapatikana wapi? Uku kwetu kwa Mtogole hakuna vitu kama hivyo.
 
View attachment 556821

Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% na 20% for fuel (ethanol) and for export. Inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za mahindi hupelekea akili kuwa pumbafu (kulala) hivyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo.

Chanzo: Muungwana Blog

My take
Wengi wanapenda kuishi maisha kukalili hata bila kufikiri.

Kama watu wanasema kwa sababu marekani mahindi zinakula ng'ombe.
na kukimbilia kusema ugali hauna faida yoyote mwilini hiyo inakuwa sio pointi.

Kwa sababu kunawatu mchele wanazilushia njiwa kwa sababu hiyo hauwezi kusema wali hauna vitamini yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya utafiti kwanza kabla ya kukurupuka kuandika vitu usivyo vielewa..!

Muscles, organs, hair, nails and ligaments are all composed ofprotein, so it's obvious whyprotein is an important part of the diet. ... Brain cells communicate with one another via chemical messengers called neurotransmitters, which are usually made of amino acids, the building blocks of protein.

Brain Power: Why Proteins..
 
Soma nilichokujibu pale juu ni kuwa ulidai sasa kwani mwili ni akili tu?? Ndo nami nikakuliza mwili bila akili una faida gani?!

Lakini kwa hii iliyo rise uko sahihi !

Cairo's
Nilimjibu kwa kutambua anapotosha kwa kujua, unaona kaingia mitini na tafiti zake fake..!

Muscles, organs, hair, nails and ligaments are all composed ofprotein, so it's obvious whyprotein is an important part of the diet. ... Brain cells communicate with one another via chemical messengers called neurotransmitters, which are usually made of amino acids, the building blocks of protein.

Brain Power: Why Proteins
 
Kila siku huwa naandika kuwa , wazungu koko ni wanafiki sana, nahisi waafrika hasa Tanzania huwa hamnielewi.

Mfano, USA ndiye gaidi namba moja duniani lakini watu ukiwauliza kutaja magaidi, watataja IS , Al Shabab, Al Quider, Boko Haram, Yaani USA hatakuwemo.

Mfano, ni utafiti kama huu, unadhibitisha kuwa wazungu koko ni wanafiki.
 
Cha ajabu nini? Hata huku kwetu Africa, chakula wanachokula Wamarekani kwetu sisi zinakula ng'ombe!
 
View attachment 556821

Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% na 20% for fuel (ethanol) and for export. Inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za mahindi hupelekea akili kuwa pumbafu (kulala) hivyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo.

Chanzo: Muungwana Blog

My take
Wengi wanapenda kuishi maisha kukalili hata bila kufikiri.

Kama watu wanasema kwa sababu marekani mahindi zinakula ng'ombe.
na kukimbilia kusema ugali hauna faida yoyote mwilini hiyo inakuwa sio pointi.

Kwa sababu kunawatu mchele wanazilushia njiwa kwa sababu hiyo hauwezi kusema wali hauna vitamini yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kumbe ndiyo maana nikona ugali mezani tu nachanganikiwa na kusingizia nina usingizi au jina linaniuma.
 
Back
Top Bottom