Ugali ni chakula kisicho na faida katika ubongo

Dah.... Hili lisipite hivihivi .... Kuna uhusiano fulani kati ya ugali, kupenda ngono na uwezo wa kufikiri....uchunguzi unatakiwa

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
Shuleni sijui vijana wanasoma nini siku hizi.

Wanga(Carbohydrates) kazi yake sio kuongeza akili kwenye ubongo wako. Ina maana shuleni siku hizi watoyo hawafundishwi aina ya chakula na faida zake?

Chochote kinachofanyika marekani basi watanzania lazima wataiga tu.

Mkuu hamia marekani ukapigwe miti kama walivyo vijana wa huko.
Hii hoja ni fedheha kuijadili inafaa kupondwa tu! Sijui alieleta uzi huu hakupita shule? Ilitakiwa aisome hii taarifa kwenye blog ya kipuuzi iliyowrka article na halafu akaacha huko huko , kuleta huku ina maana haiamini akili yake , hakuwaelewa walimu wake na hana akili!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa nimepata jibu kwanini afrika tuko hivi mpaka leo maana chakula kikuu ni ugali
 
Walaji ugali wote duniani walitawaliwa. Ugali ni mbaya Sanaa, angalia wa west Africa ,Angalia wahindi wekundu. Ugali si kitu kizuri kabisa.
 
Kwa kweli ugali sio chakula chenye faida mwilini. Bora kushindia viazi vya kuchoma kuliko ugali
 
Naona Wengi Hawajasoma Mada Yenyewe Wanakimbilia Kumshambulia Mtoa Mada. Yeye Mwenyewe Kaitoa Muungwana Blog Na Pia Katoa Maoni Yake Ambayo Pia Anaonekana Kupingana Na Hoja Yenyewe. Ss Watu Tunasoma Heading Tu Af Tunakuja Kumsurubu Mleta Uzi, Tuache Kukurupuka Wadau.
 
Wazungu, waarabu, wajapan, wachina na watu wengine hawali ugali bali hula ngano, nyama maziwa, kuku, samaki n.k ila sisi huu ugali tumeutoa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mahindi sio zao la asili ya Africa hata pia muhogo. Haya mahindi yaliletwa Africa na mkoloni wa kireno na sisi bila kujua tu adopt kama chakula chetu na kutupilia mbali vile vyakula vyetu vya asili. Ndiyo maana wengi wamedumaa na kuwa na akili pungufu sababu ya kula mahindi. Tupige vita ugali haufai kuliwa na binadamu
 
ona hawa wazungu!!
IMG_20170728_161843.jpg
 
Huu utafiti naukubali kwa asilimia 98, haiwezekani tuwe na akili timamu afu bado tuendelee kuichagua CCM na upuuzi wake wote toka tupate uhuru. Haya maugali ndio yanafanya tuwaone CCM watu wa maana.
Wewe una yakwako umetoka nje ya maada
 
Aisee.....kwa hiyo kama marekani kwa asilimia 80% mahindi ni chakula cha mifugo......so, wamaanisha na sisi wadanganyika ni mifugo......??????!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom