Ugali ni chakula kisicho na faida katika ubongo

Wanaomlaumu Cjui Wanasoma Post Wenyew Au Wanasomewa Maana Mtu Kaleta Mada Na Chanzo Kaweka But Watu Wanamjia Juu I Think We Need To Make An Intevew Ili Kupunguza Wachangiaji Ili Wengine Wawe Wasomaji Tu Maana Wanaaibisha Jukwaa
 
Huu utafiti naukubali kwa asilimia 98, haiwezekani tuwe na akili timamu afu bado tuendelee kuichagua CCM na upuuzi wake wote toka tupate uhuru. Haya maugali ndio yanafanya tuwaone CCM watu wa maana.
Kijana wa Ufipa hivi hata shume umeenda kweli?, unajua ugali unafaida gani mwilini?.

Hapo mumekusanyika kwenye banda lenu kama vile muna bet.
 
98ea98b9e981c0a5223e47bd8fc02c59.jpg


K0pi na pest hii Mada niliwahi kuisoma hapa jf 2013

Ugali ni chakula cha kimasikini

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huo mwaka 2013 jf wengine hawakuwepo.
 
Food for the brain ni berries na nuts hizi almond nuts, pecan, korosho, karanga n.k
Hawa wazungu wanajaribu kudraw attention zenu watu weusi waone kama mtaacha ugali wawaletee processed foods kutoka kwao.Shida ni kwamba watu weusi ni bendera fuata upepo
Kabla haujanilaumu mm kwanza soma chanzo cha habari.
Na kuto fanya hivyo unajishushia heshima ya kuitwa great thinker


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu utafiti naukubali kwa asilimia 98, haiwezekani tuwe na akili timamu afu bado tuendelee kuichagua CCM na upuuzi wake wote toka tupate uhuru. Haya maugali ndio yanafanya tuwaone CCM watu wa maana.
Kweli kabisa
 
View attachment 556821

Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% na 20% for fuel (ethanol) and for export. Inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za mahindi hupelekea akili kuwa pumbafu (kulala) hivyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo.

Chanzo: Muungwana Blog

My take
Wengi wanapenda kuishi maisha kukalili hata bila kufikiri.


Kama watu wanasema kwa sababu marekani mahindi zinakula ng'ombe.
na kukimbilia kusema ugali hauna faida yoyote mwilini hiyo inakuwa sio pointi.

Kwa sababu kunawatu mchele wanazilushia njiwa kwa sababu hiyo hauwezi kusema wali hauna vitamini yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mtafiti ni shithole.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom